Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Wengi wanaokimbilia kuoa na kuzaa mapema ndio wanaopeleka watoto kwa bibi na babu zao aidha kwa kuwa na kipato kidogo au kwa kujiendeleza kimasomo.
akili yako tu nani kakuambia ukichelewa kuoa maisha ndio yanakua mazuri?

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana wana mafuta lakini wanachimbiwa na wageni mpaka leo.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana wanaamini katika kujilipua lipua mpaka leo.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana wana chumi zinazotegemea zao moja kwa kiasi kikubwa.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana wana low literacy levels.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana nchi zao hazina uhuru wa kujieleza.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana wana tawala za kidini.

Waarabu ni jamii masikini.

Ndiyo maana mpaka leo nchi kama Saudi Arabia ina utajiri mkubwa wa mafuta lakini kuna watu masikini wanategemea ruzuku za serikali.
Ongezea waarabu ni jamii masikini ndio mana GDP yao ni ndogo kuliko nchi tajiri za kiafrika.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Nani aliyekuambia kuoa ni lazima?
Nani aliyekuambia kuwa na mtoto ni lazima?

Unaendeshwa na wengi wanafanya nini?
kwa mwanaume anyesimamisha na anayemjua mungu kuoa na kuwa na mtoto ni lazima, otherwise wewe ni shoga, hausimamishi na mwisho unanunua malaya.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Bado hujaona kitabu nilichoandika.

Jamii masikini zinaendana na uvivu wa ku type.

Kwa sababu zimewahi kuoa/kuolewa na kwa sababu hiyo hazijaenda shule.
ni kweli hata kwetu pemba hatujaenda shule ukilinganisha na kule bukoba, ial ndio tunaomiliki mitaa hapa mjini

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Ongezea waarabu ni jamii masikini ndio mana GDP yao ni ndogo kuliko nchi tajiri za kiafrika.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Watu wanaofuatilia mambo ya kupima uchumi wameacha kuangalia GDP. Wanaofuatilia GDP hawafuatilii maendeleo ya sasa katika somo la uchumi.

Unaweza kuwa na GDP kubwa katika nchi masikini sana, halafu GDP ikawa imegawanywa kwa Bakhressa, Mengi, Manji na Rostam Aziz. Wengine wote hata makombo hampati. Huwezi kusema nchi ni tajiri kwa sababu watu wanne wamepandisha GDP disproportionately.

Halafu unaweza kumshinda masikini lakini bado ukawa masikini.

Umasikini mkubwa kabisa wa Waarabu ni wa kushindwa kutumia akili na kubweteka kutegemea maliasili.
 
Kuwahi/kukimbilia kuoa kwa watu wanaotokea familia za kimasikini ni jambo la hatari kuliko hatari yenyewe.
kwani umasikini unaindoshwa kwa kuchelewa kuoa ukiwa masikini?

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Watu wanaofuatilia mambo ya kupima uchumi wameacha kuangalia GDP. Wanaofuatilia GDP hawafuatilii maendeleo ya sasa katika somo la uchumi.

Unaweza kuwa na GDP kubwa katika nchi masikini sana, halafu GDP ikawa imegawanywa kwa Bakhressa, Mengi, Manji na Rostam Aziz. Wengine wote hata makombi hampati. Huwezi kusema nchi nibtajiri kwa sababu watu wanne wamepandisha GDP disproportionately.

Halafu unaweza kumshinda masikini lakini bado ukawa masikini.

Umasikini mkubwa kabisa wa Waarabu ni wa kushindwa kutumia akili na kubweteka kutegemea maliasili.
ni kweli mkuu nimekupata ndio mana nchi zinazoongoza kwa maisha mazuri duniani kama Qatar, UAE na Sweden GDP yake ni ndogo kuliko Tanzania ambayo GDP imegawanyika kwa kina Rostam, Bakhresa na Mengi.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
ni kweli hata kwetu pemba hatujaenda shule ukilinganisha na kule bukoba, ial ndio tunaomiliki mitaa hapa mjini

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Wewe hata tofauti ya mji na kijiji huijui.

Hivyo vijumba kama vibanda vya kuku vinavyonuka mavi visivyo hata na smoke detectors unatambia kwa sababu hujawahi kukaa kwenye nyumba standard.

Hujui tofauti.

Kibaya zaidi, umeridhika.
 
Sasa kama kutafuta hiyo dawa ya cancer ndo kumewafanya wasioe/wasiolewe, hiyo cancer isingekuwepo si wangeoa/kuolewa?

Tatizo hapo ni hiyo cancer ndiyo maana wameamua wasioe/kuolewa ili waitafute dawa yake.
Kutafuta si kupata. Wote wangesubiri wengine watafute dunia isingekuwepo hapa ilipo.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Wewe hata tofauti ya mji na kijiji huijui.

Hivyo vijumba kama vibanda vya kuku vinavyonuka mavi visivyo hata na smoke detectors unatambia kwa sababu hujawahi kukaa kwenye nyumba standard.

Hujui tofauti.

Kibaya zaidi, umeridhika.
ni kweli ndio mana wewe unayekaa kwenye jumba kubwa unatema point tupu bila kumwaga povu, sababu umesoma na umechelewa kuoa.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
ni kweli ndio mana wewe unayekaa kwenye jumba kubwa unatema point tupu bila kumwaga povu, sababu umesoma na umechelewa kuoa.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Stay off my dilsnick.
 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Mkuu kuoa hakuna tofaut na utajiri na umaskini na ndio maana kuna wazee wameanza kutafuta ela tangu nchi inapata uhuru alafu wajukuu zao wametafuta kidogo tu wamekamata fedha...kikubwa viungo vya uzazi vifanye kazi kisawasawa...na wengine wamewahi kuoa lakini watoto Mungu akawajalia baada ya miaka 10 kutokana na changamoto za kiafya lakini mwingine kaoa mwaka jana lakini mwaka huu tayari ndoa imejibu (tukifikiria yote haya utaona kwamba kuoa ama kuolewa ni majaaliwa)
 
Kuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
Hahaaaaa, imenibidi nicheke! Unawahi kuoa, unawahi kuzaa, unawahi majukumu ambayo mengi yao huyatimizi kikamilifu mfano kuwatimizoa familia yako mahitaji muhimu (basic needs) achilia mbali elimu bora n.k!
Maisha yanaendelea kuwa ya kurithishana (mzunguko) wa ufukara/umasikini!!

Sent from my STUDIO SELFIE using JamiiForums mobile app
 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Kaka mambo ya ndoa yaache maana kuna watu wana umri mkubwa na wana uwezo wa uchumi lkn hawana ndoa na wala hawafikirii lakini wana watoto kibao!ila hongera zake Profesa wa mitulinga!

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Mimi wazazi wangu waliniandalia maisha mazuri kwahiyo sikuchelewa kuoa. Hata marafiki zangu vivyo hivyo.
Duh, huu mfano wa wanaume wanaoitwa baba kasema.., na huenda ulioa kwa sababu baba yako alisema au kukuchagulia mke!!
Je, usingekuta hayo mazingira usingeoa? Je wewe unawaandalia wanao hayo mazingira?!

Sent from my STUDIO SELFIE using JamiiForums mobile app
 
Kuandaliwa maisha mazuri na wazazi si kigezo cha kuoa.

Mtu anaoa kwa mintaarafu ya mustakabali wa maisha yake mwenyewe, si kwa mujibu wa maisha ya kupangiwa na wazazi.

Watu kama wewe mnapangiwa mpaka mke wa kuoa.

Kuna jamii zilizoendelea kiuchumi ambazo zina utajiri wa vizazi na vizazi na bado watu hawawahi kuoa.

Bado hujaelewa kwamba ukiwa katika jamii masikini, kama hujajitoa elements fulani za jamii hiyo, hata ukiandaliwa maisha mazuri na wazazi wako unaweza kuwa bado una shombo la jamii masikini.

Kuwahi kuoa si sifa. Ni alama ya jamii masikini hata kama umeandaliwa maisha mazuri na wazazi wako.

Umenena vyema
 
Sasa kama kutafuta hiyo dawa ya cancer ndo kumewafanya wasioe/wasiolewe, hiyo cancer isingekuwepo si wangeoa/kuolewa?

Tatizo hapo ni hiyo cancer ndiyo maana wameamua wasioe/kuolewa ili waitafute dawa yake.
Dawa ipi ya kansa?! Kansa yenyewe mbona ni ugonjwa wa kwenye vitabu tu (ugonjwa wa kuaminishwa!?)

Sent from my STUDIO SELFIE using JamiiForums mobile app
 
Kuandaliwa maisha mazuri na wazazi si kigezo cha kuoa.

Mtu anaoa kwa mintaarafu ya mustakabali wa maisha yake mwenyewe, si kwa mujibu wa maisha ya kupangiwa na wazazi.

Watu kama wewe mnapangiwa mpaka mke wa kuoa.

Kuna jamii zilizoendelea kiuchumi ambazo zina utajiri wa vizazi na vizazi na bado watu hawawahi kuoa.

Bado hujaelewa kwamba ukiwa katika jamii masikini, kama hujajitoa elements fulani za jamii hiyo, hata ukiandaliwa maisha mazuri na wazazi wako unaweza kuwa bado una shombo la jamii masikini.

Kuwahi kuoa si sifa. Ni alama ya jamii masikini hata kama umeandaliwa maisha mazuri na wazazi wako.
Na hao matajiri wa mali ni matajiri wa zinaa pia, wanachelewa kuoa kwa sababu wanakuwa na uchumi wa kutumia kwa zinaa kwa hiyo wao kuoa ni kutimiza wajibu tu lkn washafanya zinaa ya kutosha na kuwa na watoto kibao mitaani achilia mbali waliotupwa chooni.
Masikini wa fedha ni masikini pia wa zinaa maana hana za kutapanya hivyo ni bora kuwa na familia mapema!
 
Back
Top Bottom