Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Zinaa unaijua wewe na mapokeo yako. Wenzako wanajinafasi tu.

Kwamba masikini wa fedha ni masikini wa zinaa si kweli, ingekuwa hivyo nchi masikini zisingeongoza kwa kinamama kuwa na watoto wengi na watoto wasio na baba kuwa wengi.

Kitu kikubwa kinachofanya jamii tajiri zichelewe kuoa si utajiri wa zinaa kama unavyosema, huo kila jamii upo.

Kinachofanya jamii tajiri zichelewe kuoa ni miaka mingi ya kusoma ili kujiandaa na maisha, sasa kama huko kuna zinaa, hayo ni matokeo tu.

Hata jamii masikini zinapoenda ngoma za kuwatoa dada zetu kuna zinaa nyingi na gongo watu wanakunywa sana tu.

Licha ya umasikini.
 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Kuoa sio umri mkuu. Unashsiuriwa kuoa ukipata mwenza sahihi kwa wakati sahii

Sent from my GT-I9100 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu nimeongelea hii "vicious cycle of poverty" hapa kwenye thread hii.
 

Mkuu masikini ndo wanaongoza kwa ngono mkuu, hao unaoona ni matajori kimsingi ni watu wa kawaida sema maskini sehemu za kukutania ni sehemu ambazo za vificho. Vijana au watu wasiokuwa na deal mjini ndo wazee wa kugusanisha viungo vya uzazi kutokana na kuwa na muda wa kutosha kabisa
 
Kuna sehemu nimeongelea hii "vicious cycle of poverty" hapa kwenye thread hii.
Nimekusoma mkuu na ndio jamii zetu nyingi zilivyo!

Usipopata lishe bora ukiwa kama kiumbe tumboni kwa mama ako, unazaliwa ukiwa na upungufu..., unakuzwa hivyo hivyo kwa lishe pungufu.., unakua mtu mzima ila productivity/thinking/reasoning capacity inakuwa ndogo sana..., kidogo kichopo kinakuwa cha kunyang'angana na hakikidhi mahitaji..., nawe unaendeleza mzunguko kwa wanao...., wajukuu, vitukuu.., halafu tunashangaa nchi kupata uhuru miaka 50 iliyopita lkn bado ni masikini!!

Sent from my STUDIO SELFIE using JamiiForums mobile app
 
Acha udaku mwanaume

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Labda alitaka yeye mtoa mada acheze na mwenyekiti.! Amechoka n Madai yenu ya fly to KIA!

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna baadhi ya member humu Jf unaweza ukahisi labda Mbowe aliwatwanga ujawepesi halafu akawatelekeza. Maana sio kwa hali hii asee...
 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Ndoa huanzia moyoni. Hayo mengine ni kutaka ninyi mjinome ubwabwa!
 

Mkuu unazaa mapema ili ule matunda ya watoto??

Acha hayo mawazo, jiandalie maisha yako mwenyewe ya uzeeni na maisha ya watoto wako usije kuwapa ugumu wa kuishi kwa kuwaongezea majukumu..
 
Hongera sana prof. Jize Mungu awape maisha ya amani

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
Iyo unasemea ni classes tu. Kila jamii kuna different levels of development hata ukienda norway utawakuta maskini wanaotegemea ruzuku serikalini. Iyo nature ya kila jamii ila ukizingumzia teenage marriages ndio msingi wa umaskini sio kwel. Iyo ni dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…