Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Magufuli hakuwa fisadi?Mjenge sanamu ya kikwete ili kuenzi ufisadi au kushamiri kwa biashara ya madawa ya kulevya? Anayesema ijengwe ni rais mwenyewe au mtu baki kutokana na kile anachofikiria yeye? Usiendekeze udini mtanzania wewe maskini na mwenye umri mdogo.sisi tuliokuwepo toka miaka ya uhuru tunafaham mengi ukiacha wewe dogo wa miaka hii ya tisini mwishoni.