Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi: Tujenge 'Monument' ya kumuenzi Hayati Dkt. Magufuli jijini Dodoma

Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi: Tujenge 'Monument' ya kumuenzi Hayati Dkt. Magufuli jijini Dodoma

Mjenge sanamu ya kikwete ili kuenzi ufisadi au kushamiri kwa biashara ya madawa ya kulevya? Anayesema ijengwe ni rais mwenyewe au mtu baki kutokana na kile anachofikiria yeye? Usiendekeze udini mtanzania wewe maskini na mwenye umri mdogo.sisi tuliokuwepo toka miaka ya uhuru tunafaham mengi ukiacha wewe dogo wa miaka hii ya tisini mwishoni.
Magufuli hakuwa fisadi?
 
Huyu fala naona bado ana umagufuli Magufuli unamsumbua, huyo mzee alikuwa tapeli wa maneno hana hadhi hata ya kujengewa chochote, aliyo yafanya hayana tofauti na waliyo fanya watangulizi wake tena yeye kuna mambo kavurunda zaid narudia hana na hajafikia hadhi hiyo acheni unafiki.

Kunambi aache unafiki bado na mawazo ya kujipendekeza hadi kwa maiti ya magufuli !? Huyo mzee zama zake zimesha isha aendelee kusubiri hukumu huko aliko.
 
Changamoto za jimbo lako ni nyingi sana mheshimiwa mbunge. Nashauri uhakikishe kata zote za jimbo zina access na basic needs kama maji, barabara, shule, zahanati na hospitali.

Viongozi wamejikita katika kujipendekeza na hii sio dalili nzuri kwa taifa.
 
Marais wakristu ni wabinafsi sana. Mbona hamna mtu anasema tujenge sanamu ya Kikwete. Hivi hawa watu wamelogwa au ni nini? Huyo magufuli mpora uchaguzi ndiyo wanamwona wa maana
Sasa hapo ukristo umeingiaje mkuu
 
Kazi zake na matokeo ya hizo kazi! Ndo inamfanya aseme hivyo. Sasa kikwete ajengewe ndege inayoenda angani na kusema rais wa angani au? JPM amepiga kazi ndugu! Kama alikutumbua! Pole kwa hilo. Na hauna haja ya kulaumu! ni vyema ukaangalia ni wapi ulikosea.
Acheni ujinga nyie vilaza wa magufuli kama ni kujenga miundo mbinu kikwete kajenga miundo mbinu mingi sana kuliko hata huyo magufuli aliye kuwa anajenga kwa maneno mengi na misufa ya kutaka kila anacho fanya kipewe public atention.

Kwa magufuli mayowe yalikuwa mengi kwa sababu tu ya ulimbukeni wake lakini hakuna cha kusema kafanya cha kashangaza ulimwengu.
 
Habari tukiwa katika huzuni nzito iliyokumba Taifa letu Tanzania,

Binafsi najaribu kufikiria kipi zaidi katika kumuenzi hayati Rais wetu.

Kujenga sanamu(monument) kama ishara ya kumuenzi ninavyoliona bado sio kumbukumbu kubwa kwa vijana wa kesho walau
Iwekwe Siku maalumu ya kumbukizi kitaifa na pia vipindi maalumu vipangiliwe katika platform zetu zote za habari radios & TVs

Nini maoni yako kumuenzi huyu jemedari


IMG_20210318_193417_574.jpg
 
Amini nawaambia, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa alifanya mambo makubwa kwenye hii nchi kuliko huyo mnaemnadi sana!

Au wakati mkapa anatengeneza hii nchi mlikuwa watoto wadogo sana?

Lijengwe sana la Mkapa kwanza hala mengine yatafuata.
 
Lijengwe kwa huruma kwamba katutoka bado akiwa madarakani, au waliomtangulia walikuwa bure kabisa hakuna cha maana walichofanya?
 
Amini nawaambia, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa alifanya mambo makubwa kwenye hii nchi kuliko huyo mnaemnadi sana!...
Mkapa hukumbuki kodi ya kichwa wewe mwaka 2003 nyuma mpaka baiskeli aliziwekea kodi na Ile kubinafsisha kila kitu limepelekea taifa kuwa tegemezi.

JPM kairudisha nchi kwenye mstari na angeendelea miaka kumi umadhani tungekuwa wapi
 
Mkapa hukumbuki kodi ya kichwa wewe mwaka 2003 nyuma mpaka baiskeli aliziwekea kodi na
Ile kubinafsisha kila kitu limepelekea taifa kuwa tegemezi
JPM kairudisha nchi kwenye mstari na angeendelea miaka kumi umadhani tungekuwa wapi
Hapa ndio mataga mnapodharuliwa alieondoa Kodi ya kichwa ni mkapa na akaleta VAT acheni kuandika msiyoyajua.
 
Hilo sanamu labda mlilinde vinginevyo litabomolewa.
Abomoe nani kwamba hatambui mchango wa wa Rais wetu hivi kuna watu bado mmefungwa mpaka akili hata kuona hamuoni?
Huamini alichokifanya Rais wetu kweli? Na kura ulimpa?
 
Back
Top Bottom