Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Myebusi una vitukoSafari hii nchi yetu itarudia sana uchaguzi wa wabunge na madiwani, Corona kolabo na Makombora Ya Kienyeji.
Walio dhulumiwa haki zao za ushindi hawajatulia mpaka dakika hii, watu wanakesha kwa kina Sir Ngoma na Nyumba Za Ibada, mmoja mmoja watamchomoa.
Serikali ijipange kwa budget ya kurudia uchaguzi jimbo baada ya jimbo.
NB: Msemo mtakatifu wa kidini kwamba "Dhuluma haidumu, na ikidumu inaangamiza"
Ajali?
Really?
Picha iko wapi?
Mnaona WaTZ wajinga eee?
Keep on lying to yourselves!
Halafu hizo taarifa za ajali ndio kwanza tunazisikia baada ya kifo,unafiki una gharama.Ajali?
Really?
Picha iko wapi?
Mnaona WaTZ wajinga eee?
Keep on lying to yourselves!
Ilikuwa ngumu Sana kushinda Mbele ya kijana Felix MkosamaliAlishinda kihalali kwenye kura? Kama alishinda kihalali RIP, lakini kama ni hawa walioshinda kwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, basi apambane na hali yake.
Ilikuwa ngumu Sana kushinda Mbele ya kijana Felix Mkosamalika
... hakuibiwa yeye; waliiba kwa niaba yake bila yeye kujua.Angemshinda vipi Felix Mkosamali bila kuiba kura ?
Ahahahaaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Watu wamejawa sumu mioyoni.Kura tena jamani si tumekubaliana kutoa pole [emoji3][emoji3]
Tena sasa hivi hivyo vifo ndio vitashika kasi ile mbaya. Ngoja wajifanye kudanganya sijui ni ajali ama nini.Hawa wajinga wanadhani wanatudanganya sisi kuna faida yeyote wanapata kumbe wanajidanganya wao wenyewe!
Tutaona vituko mwaka huu,ndio kwanzaaa February!
Huko kwenye kura usiongelee.Alishinda kihalali kwenye kura? Kama alishinda kihalali RIP, lakini kama ni hawa walioshinda kwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, basi apambane na hali yake.