TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

Safari hii nchi yetu itarudia sana uchaguzi wa wabunge na madiwani, Corona kolabo na Makombora Ya Kienyeji.

Walio dhulumiwa haki zao za ushindi hawajatulia mpaka dakika hii, watu wanakesha kwa kina Sir Ngoma na Nyumba Za Ibada, mmoja mmoja watamchomoa.

Serikali ijipange kwa budget ya kurudia uchaguzi jimbo baada ya jimbo.

NB: Msemo mtakatifu wa kidini kwamba "Dhuluma haidumu, na ikidumu inaangamiza"
Itakuwa mwanafunzi Al Marhum Bachu wewe!
 
Safari hii nchi yetu itarudia sana uchaguzi wa wabunge na madiwani, Corona kolabo na Makombora Ya Kienyeji.

Walio dhulumiwa haki zao za ushindi hawajatulia mpaka dakika hii, watu wanakesha kwa kina Sir Ngoma na Nyumba Za Ibada, mmoja mmoja watamchomoa.

Serikali ijipange kwa budget ya kurudia uchaguzi jimbo baada ya jimbo.

NB: Msemo mtakatifu wa kidini kwamba "Dhuluma haidumu, na ikidumu inaangamiza"
Ogopa sana mtu umemuibia kura lakini kutokana na vitisho na ukosefu wa haki haoni sababu ya kufungua kesi ya kupinga matokeo mahakamani.
Tujiulize, uchaguzi huu ndio mchafu kuliko chaguzi zote za nyuma kwa nini hakuna kesi hata moja ya kupinga matokeo?
 
Alishinda kihalali kwenye kura? Kama alishinda kihalali RIP, lakini kama ni hawa walioshinda kwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, basi apambane na hali yake.
Huko kwenye kura usiongelee.

Hakuna mgombea hata mmoja wa CCM aliyepata kura za halali. Kuanzia Rais Magufuli mpaka madiwani, wote wana kura za wizi.

Magufuli hata kwenye maeneno ambayo alishinda, aliongezewa kura ambazo hakupigiwa. Alikopata kura pungufu na kuzidiwa na Lisu, huko wizi wa kufuru ulifanywa.

Hata wagombea wa ubunge kupitia CCM, ambao wangeshinda bila ya kura za wizi, bado waliongezewa maradufu kura za wizi.

Wapo kama akina Ndugai, ambao hawakupigiwa kura hata 1. Wao, wapinzani wao walifutwa na wakala wa Ibilisi.

Kwa ujumla, Rais, wabunge na madiwani wote, ni zao la mchakato mchafu, ni zao la matendo ya kishetani, ndiyo maana hatutegemei nchi kupata baraka kwa kupitia kwao, sawa na ambavyo huwezi kusuburia embe chini ya mchongoma.

Duniani ni mapito, tujitahidi tutende wema kwa kadiri ya uwezo wetu, na Mungu atusamehe tulipopungukiwa, lakini tujue, juu yetu kuna mkuu kuliko uwezo wetu.

Tusiwe wajinga kama tajiri aliyesema, ngoja nikusanye kila kitu halafu niponde maisha, halafu Mungu akasema, mpumbavu wewe maana leo usiku naihitaji Roho yako. Wapo waliopora kura. Na wakajisifu kuwa, kazi tumemaliza, sasa ni mpaka baada ya miaka 5. Lakini Mungu anatuambia, wapumbavu ninyi maana hamjui, mwingine naitaka Roho yake mwezi huu, mwingine mwakani, mwingine mwaka wa mwisho, n.k.

Kuna vitu humpa mtu laana, mojawapo ni dhuluma. Polisi, Mahera na wakurugenzi, wanaweza kukusaidia kuiba kura lakini hawana uwezo wa kuiba muda wakupatie ili uishi zaidi maana hawana muda. Muda ni mali ya aliyetuumba, hutugawia kidogo kidogo kwa hekima yake.

Viongozi wote kuanzia Rais, wabunge mpaka madiwani, kwa kuwa wote walitangazwa kwa kura ambazo siyo za kweli (wao wanajua), watubu, waombe toba ya kweli maana hakuna miongoni mwetu ajuaye siku wala saa. Na ikitokea tumeitwa, tusiwe na dhambi ya kudhulumu haki.

Rais anastahili kuomba toba ya pekee, maana yeye ndiye chanzo kikuu cha uovu wote.

Hii ni sauti ya mimi nisiye na kitu, najua itapuuzwa, lakini kupuuzwa huko hakutapunguza chochote katika ukweli wake.

Tujitahidi sana kutenda mema, na tuzione nafsi zetu kwenye nafsi za wenzetu.
 
Safari hii nchi yetu itarudia sana uchaguzi wa wabunge na madiwani, Corona kolabo na Makombora Ya Kienyeji.

Walio dhulumiwa haki zao za ushindi hawajatulia mpaka dakika hii, watu wanakesha kwa kina Sir Ngoma na Nyumba Za Ibada, mmoja mmoja watamchomoa.

Serikali ijipange kwa budget ya kurudia uchaguzi jimbo baada ya jimbo.

NB: Msemo mtakatifu wa kidini kwamba "Dhuluma haidumu, na ikidumu inaangamiza"
Shetani Mkubwa wewe, kwani wewe utaishi milele. Na usipojiangalia Kesho ya tarehe 13.02.2020 itakuwa haifiki
 
Back
Top Bottom