TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

Ndiyo maana tunatilia shaka hii taarifa kuwa kafa kwa ajali. Haiwezekeni mbunge alipata ajali juzi halafu taarifa isitoke siku hiyo ila ije itoke baada ya yeye kufariki kuwa eti alipata ajali juzi.
Maswali mengi mengi hivi..
Ajali ya mwaka 2018
 
Ina maana hata bungeni haikutangazwa kwamba kuna mbunge kapata ajali?

Au kuna mbunge kalazwa?

Acha urongo King Kong!
Bwashee weka link ya video ya tulia,ndugai au mwenyekiti akitangaza ajali hiyo.
Ina maana hata bungeni haikutangazwa kwamba kuna mbunge kapata ajali?

Au kuna mbunge kalazwa?

Acha urongo King Kong!
 
Ndiyo maana tunatilia shaka hii taarifa kuwa kafa kwa ajali. Haiwezekeni mbunge alipata ajali juzi halafu taarifa isitoke siku hiyo ila ije itoke baada ya yeye kufariki kuwa eti alipata ajali juzi.
Maswali mengi mengi hivi..
Ajali siyo lazima iwe ya chombo cha moto kama gari, pikipiki, ndege nk!
 
Tungelishika Neno hili, ya kwamba ratiba za kuishi kwetu hatuna, tungeliishi Kwa Amani, Tungeliishi vizuri na watu wote, tusingelitamani Mali zisizo zetu, tungelipendezwa na vichache au vingi vilivyo halali yetu na ni kazi ya mikono yetu halali

R.I.P
 
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.

Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.

Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema.

Atashasta Justus Nditiye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Muhambwe Kigoma kwa mwaka 2015 – 2020 na Mwaka 2020 - 2025. Kazaliwa Tarehe 17 Oktoba 1969
Mungu amlaze mahala pema pepon. Amen
 
Angemshinda vipi Felix Mkosamali bila kuiba kura ?
Mkosa mali bado atachapwa tu kwa mara ya pili,
Hata baada ya kufa huyu bwana, mungu aliaze mahara pema peponi.
Hakuna cha wizi pale, bali chama cha mkosa mali kilikuwa kimekosa mali chenyewe.
 
Poleni wote mlioguswa na msiba huu.

Nilikutana na huyu Mheshimiwa akiwa mgeni wetu rasmi kwenye ERB annual event iliyofanyikia dsm akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi.

Rest in peace Eng Ndatiye

Umeacha pengo kwenye field yetu ya Uhandisi
 
Mkosa mali bado atachapwa tu kwa mara ya pili,
Hata baada ya kufa huyu bwana, mungu aliaze mahara pema peponi.
Hakuna cha wizi pale, bali chama cha mkosa mali kilikuwa kimekosa mali chenyewe.
Atachapwa vipi bila uchaguzi?
 
Ajali?

Really?

Picha iko wapi?

Mnaona WaTZ wajinga eee?

Keep on lying to yourselves!
[/QUOTE
Ajali za barabarani hata mtoto wa Chekechea akigongwa na baisikeli akienda Shuleni hutangazwa saa hiyohiyo, mbona daladala ikigonga Waheshimiwa ajali haitangazwi wala hali yao na ya madereva mpaka mauti yawafike? Kweli mficha ugonjwa kifo kitamuumbua!
 
Back
Top Bottom