Tayari ameshaingia CCM muda huu, Polepole amempokea ofisi za CCM Lumumba.Kuna tetesi kuwa Mbunge Cecil Mwambe wa CHADEMA atatimkia CCM wakati wowote weekend hii.
Kuna mtu ana undani wa taarifa hizi?
Kuna tetesi kuwa Mbunge Cecil Mwambe wa CHADEMA atatimkia CCM wakati wowote weekend hii.
Kuna mtu ana undani wa taarifa hizi?
Kuna tetesi kuwa Mbunge Cecil Mwambe wa CHADEMA atatimkia CCM wakati wowote weekend hii.
Kuna mtu ana undani wa taarifa hizi?
Ulitaka akufurahishe weweinfact, uafrika ni mzigo.
Maendeleo yanahusiana nn na mtu kuhama chama... Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi