Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

Informer,
Sasa kama kuhama kwake kunatokana na kushindwa, je huko anakoene akishindwa atafanyaje?
 
Huku ni watu kupoteza usingizi wao na kupanga mistari siku ya kupiga kura, let alone kodi za wananchi zinazotumika kuwachagua watu kama hawa...
 
Kwanini ulikuwa mpinzani wa chama tawala?
Sababu ipi inakufanya kurudi chama tawala?
kwanini Upinzani upo na chama tawala kipo?
Kwanini unakipenda chama tawala?
 
Informer,
Ameona alishindwa kuangusha mbuyu kwa shoka moja, akaona akimbie tu maana alitaka kuonya sumu.
 
Mbunge wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe leo Februari 15, 2020 amejiuzulu nafasi hiyo na kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Dalili ya kuondoka alishaionyesha tangu siku nyingi aondoke salama
Kwanini CHADEMA hawakumtumbua!?
 
Kwa hiyo Kwakutoka ndio utapata hayo unayoyafikiria Njaa tuu kaka Nenda ukamwagwe. UKAJIPANGE SANA
 
Yaani na ajira za walimu zingeshughulikiwa kwa umakini na uharaka na kwa gharama kama hizi sidhani kama pangekuwa na mhitimu wa ualimu amekaa tangu 2015 hadi sasa hana ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio huyu alikuwa anataka uenyekiti CHADEMA, asante Mungu kwa kuepusha hili balaa
 
Tume itatangaza uchaguzi mdogo tena?

Hii nchi umasikini hautaisha. Nchi masikini kama zetu hatuwezi kamwe kutoka kwenye ile vicious circle of poverty kwa sababu ya matuzimi mengi ya pesa za umma kwenda kwenye ujinga.

Alafu utasikia tunabana matumizi.
 
Hahahaa jamaa anatahadharisha kabisa kilichompeleka CCM eti anaomba apewe nafasi ya kuwania ubunge. Kwahiyo hakutakuwa na kura za maoni kwenye hilo jimbo?
 
Back
Top Bottom