Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

Kwani cecilia alikua na uongozi gani huko?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
CCM ni hot cake sasa hv, karibuni sana. Ila huku CCM kupata uongozi msahau kwa sasa, tumejaza nafasi zote, you will remain as a member only.
 
So Waliokuwa wapinzani wa Mbowe kwenye Uenyekiti (ambao walitoka CCM) wote wamerudi CCM baada ya kushindwa.

Hii inaonyesha ni kweli walikuwa mapandikizi ndio maana CCM walikuwa wakishinikiza uchaguzi CHADEMA na kupiga kampeni kuwa Mbowe kakaa muda mrefu (Wakati Lipumba na wenyeviti wengi wamekaa muda mrefu zaidi?)
 
Kuwa Upinzani panahitaji watu majasiri na wavumilivu,
Siyo hawa wajasiria siasa wanasahau jinsi wapiga kura wao walivyopambana kuhakikisha wanapata ushindi,

Mwisho wa siku anakwenda kuunga mkono juhudi,na sababu za hovyo ho vyo kibao.
 
Moja ya vitu vinavyotusumbua watanzania ni uelewa finyu ( nafikiri wanaita Low IQ kama sijakosea). Huu ugonjwa wa ufinyu mdogo wa akili kwa Watanzania tuliowengi umeleta na unaleta athari kubwa sana kwenye jamii.

Uelewa ukiwa mdogo sana hupelekea binadamu kuwa chizi msafi ( unaweza ukawa chizi uliyesoma, unayevaa vizuri, unafamilia, unalala chumbani kitandani lakini ufinyu mdogo sana wa akili ukapelea nawewe kuwa chizi tu). Ukifanya sensa ya harakaharaka utagundua tunazaidi ya nusu ya population watu wanatatizo.

Kuna vitu ukivifikiria kwa makini na undani sana basi utaelewa sana nilichoandika hapo juu.
 
Back
Top Bottom