Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bungeni spika huwa anatafuta sababu yoyote awafukuze CHADEMA, nikadhani na huko atawafukuza wabaki ccm pekeeHuwa wanafukuzwa?
Neno la mkubwa ni amri. Mkubwa alishasema Harmonize apewe ubunge. Wimbo mpya wa taifa haujausikia?Kabla ya kumpa shavu Harmonize ni vizuri kwanza ukajiulize kwanini walishindwa kuendelea na Keisha na ikabidi wamg'oe fasta kwenye kamati kuu ya CCM?...kutikisa kiuno na siasa ni vitu viwili tofauti!
Ukipata jibu ni-tagRIP. Alikuwa peke yake?
Zipu
Hadi nyimbo zake huwa anaandikiwa na kusomewa, yeye hukariri anachokisikia then anaimba. Au siyo...?ccm inaokoteza tu , huyu kijana tunaambiwa hajui hata kusoma na kuandika ! lakini Magufuli anataka kumpa jimbo !
..... na watu wengi humu hawajui kwa nin Ghasia anakuwa Mbunge miaka yote ni story ndefu na watu wa chama chake wanaogopa kugombea nae kutokana na mambo flan flani hiv.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hata kama wengine sio wa umini wa hiyo dini lakini AKILI ya kawaida kabisa hi IMANI (hapo kwenye Bold ) haiwezi kua ya kweli, so wakazi wa hiyo miji inakuaje? Kwamba wao wanakwenda kwa mola moja kwa moja tu kwasababu wamefia hapo kwenye miji ya kwao? Vinginevyo tukubaliane basi huyo mola atakua ana pendelea baadhi ya watu.Simpangii mtoa adhabu ila nasema tu hivyo just in case! Daah mkuu ujue kufia Madina Mecca hata kama hukuwa muumini mzuri basi wenye imani zao wanaamini umeenda kwa Mola, sasa najiuliza tu ukifia kibanda umiza..