Baba kasema anatamani iwe hivyo na yeye neno lake ni sheria.Kazi ipo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba kasema anatamani iwe hivyo na yeye neno lake ni sheria.Kazi ipo!
inasemekana guest ni yakesijui kwanini vifo vinavyotokea guest mara nyingi vina maswali mengi yasiyojibika
Hivi "kuongoza' kwenye mazishi humaanisha nini? Mimi sio miongoni mwao walioongozwa na mzee wa bakora!.Spika wa bunge mh Job Ndugai leo amewaongoza Wabunge na Watanzania kwa ujumla katika mazishi ya mbunge wa Newala vijijini aliyefariki ghafla kwa ugonjwa wa moyo.
Chanzo: ITV
Rip mbunge!
labda mh. supika ndio aliongoza "sala" ya kumuaga marehemuHivi "kuongoza' kwenye mazishi humaanisha nini? Mimi sio miongoni mwao walioongozwa na mzee wa bakora!.
Yeye hakuwa mgeni. Alilala nyumbani kwakeAlazwe Anapostahiri
Vifo Kwenye Nyumba Za Wageni Vinaongezeka
Huwa wanafukuzwa?Hahaha hakuwafukuza CHADEMA leo?
Innalillah waina illah rajiun.
Hivi ni nani aliwaita wapinzani Panzi kule Mtwara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hmm!, kuna jamaa alinambia lazima mwaka huu wabunge kadhaa watakufa sasa naona utabiri unakua
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumzika ulipo jiandalia, ni wakati wa Hamonize kuchukua nafasi hii.
Harmonize jimbo hiloooooo!
Hatari Sanaa.Mwaka wa uchaguzi huu wala hauhitaji Utabiri wa TB Joshua 🤔