TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

Spika wa bunge mh Job Ndugai leo amewaongoza Wabunge na Watanzania kwa ujumla katika mazishi ya mbunge wa Newala vijijini aliyefariki ghafla kwa ugonjwa wa moyo.

Chanzo: ITV

Rip mbunge!
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo amewaongoza Wabunge na Watanzania kwa ujumla katika mazishi ya mbunge wa Newala vijijini aliyefariki ghafla kwa ugonjwa wa moyo.

Chanzo: ITV

Rip mbunge!
Hivi "kuongoza' kwenye mazishi humaanisha nini? Mimi sio miongoni mwao walioongozwa na mzee wa bakora!.
 
Pitia vizuri; kafia nyumbani kwake
 
Kuna mwanasiasa fulani wa nchi ya puerto rico alisema kuwa wakitumaliza sisi mbweha wataanza kujimaliza wenyewe!
 
Harmonize jimbo hiloooooo!

Kabla ya kumpa shavu Harmonize ni vizuri kwanza ukajiulize kwanini walishindwa kuendelea na Keisha na ikabidi wamg'oe fasta kwenye kamati kuu ya CCM?...kutikisa kiuno na siasa ni vitu viwili tofauti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…