Pre GE2025 Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida khenani asema fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM wala siyo za 'baba zao' ni kodi za wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi.

Amesema pia wanaosema hajafanya chochote waangalie mabadiliko yaliyopo ndani ya jimbo hilo ikiwemo ongozeko la shule kwenye kata.

Soma

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Inakuwaje mpaka tunaomba maendeleo ikiwa ni kodi za wananchi na ni haki yao kupata maendeleo
 
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi.

Amesema pia wanaosema hajafanya chochote waangalie mabadiliko yaliyopo ndani ya jimbo hilo ikiwemo ongozeko la shule kwenye kata.
View attachment 3259699
Amesema Ukweli, Fedha za huko Serikalini zinatokana na Kodi za Wananchi.
 
Ameongea ukweli. Hizo hela zinatokana na kodi zetu. Na siyo kwenye mfuko wa mtu.
 
Back
Top Bottom