huyu anajiandaa kurudi nyumbani na kuunga juhudi kwa ajili ya uchaguzi mkuu..
hali ya hewa ni nzito,jimbo limemshindwa na ukizingatia alimnanga mzee wa Kiraracha mgonjwa huku naye hali ni hiyohiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Akijibu nistueNguvu ya cdm ilikuwa inaletwa na Selasini kuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni?
Miaka yote alikuwa wapi ?Sasa uhalisia wa wanaojiita Wachaga unaanza kujitokeza, Wamarangu na Warombo ni Mbwa na Paka na hawawezi kukaa sehemu moja hata siku moja, chadema ni ya Wamarangu + Machame, hivyo ni Mrombo hawezi kubali kuongozwa na Mmarangu, na kinyume chake.
Ni chuki ya ajabu!
Uliahidi ndani ya bunge kwamba kama Ben asipopatikana utahakikisha unawaunganisha wazee wa Rombo ili wahakikishe mtoto wao anapatikana , lakini muda ukapita bila muunganiko huo kufanyika .
Kwa bahati mbaya mambo yakakuharibikia zaidi ukaondolewa kwenye uenyekiti wa kanda ya Kaskazini kidemokrasia , umekasirika na kufura , sasa umeanza visa , tunakuomba kabla ya Usaliti mwingine hakikisha unatimiza ahadi yako
Kukumbushana hakujawahi kuwa makomboraYaani kweli mara hii umeshaanzisha uzi wa kumpiga makombora Joseph?
Duuh mambo yako sio mchezo aisee, but angalia Selasini sio wa mchezo anaweza kuwafanyaneni muonekane wadogo kama piritoni🙂
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka yote alikuwa wapi ?
Kwanini ajiuzulu baada ya kuonekana lumumba ? kama hujui haya mambo utulie tuliMkuu kwahiyo unapinga hata Mbunge wa Rombo kutumia democrasia yake vyema ya kujiuzuru
Mbona unaonekana wewe ndo dictator zaid hata museven
Yaan hutaki hata watu wajiuzuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni Mnyakyusa mkuu , sasa kwenye hiyo porojo yako unaniweka kwenye kundi gani ?Chadema ni Wabaguzi wa Kikabila sana, wote wanaomtetea Mbowe ni Wamarangu + Machame, nje ya hapo wanahisi kutengwa na kubaguliwa. Wakibosho, Rombo kote wanabaguliwa, that’s why!
Mimi ni Mnyakyusa mkuu , sasa kwenye hiyo porojo yako unaniweka kwenye kundi gani ?
Namimi je wawapi.Acha uongo, wewe ni Mmarangu/Machame.