Niko na watekajiInategemea, uko na Mbowe au against Mbowe?
Kumbe alishakutana na afisa manunuzi wa chama tawalaMimi ni Mnyakyusa mkuu , sasa kwenye hiyo porojo yako unaniweka kwenye kundi gani ?
imevuja .Kumbe alishakutana na afisa manunuzi wa chama tawala
"MUNGU IBARIKI CHADEMA" 😎Uliahidi ndani ya bunge kwamba kama Ben asipopatikana utahakikisha unawaunganisha wazee wa Rombo ili wahakikishe mtoto wao anapatikana , lakini muda ukapita bila muunganiko huo kufanyika .
Kwa bahati mbaya mambo yakakuharibikia zaidi ukaondolewa kwenye uenyekiti wa kanda ya Kaskazini kidemokrasia , umekasirika na kufura , sasa umeanza visa , tunakuomba kabla ya Usaliti mwingine hakikisha unatimiza ahadi yako
"Mungu endelea kuibariki Chadema " Yajayo yanafurahisha kwa kweli ! 😤Kwanini ajiuzulu baada ya kuonekana lumumba ? kama hujui haya mambo utulie tuli
Siku inakuja itakapovuja TL kuonekana Lumumba, na hilo ndilo litakalo kuwa pigo kuu na takatifu! Kishindo cha anguko la CDM kitarindima ardhi yote ya mama TZimevuja .
Umehitimisha kwamba "kiufupi huko chadema kuna fukutasana..."; hapo hapo unakana hitimisho lako na kuanza kuutegemea wakati..."time will tell."kiufupi huko chadema kuna fukuta sana,time will tell
seriously mkuu chadema kuna mfumo?
achana tu na mfumo imara...
Unamteua mtu bila kumthibitisha mwaka mzima huo ni mfumo imara??
uteuzi wa wabunge viti maalum unafuataga mfumo gani?
kumteua Lowassa kuwa mgombea ulitumika mfump gani?
chadema ikija kuwa na mfumo namimi nachukua kadi.. kwa sasa bado ni NGO ya watu binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Swadaktaaa !...na ndiyo ule usemi " Toa kwanza boriti ndani ya jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwezio" unapoleta maana !Naam, rangi halisi ya chadema tunaiona sasa, chuki yote dhidi ya Magufuli ilikuwa ni kuficha chuki waliokuwa nayo dhidi yao wao wenyewe, Warombo vs Machame + Marangu.
Nyie watu ni watu wa ajabu sanakwa hiyo hili ni suala la KIMSIMAMO. Ni bora kutokuwa na mnadhimu wa upinzani kuliko kuhalalisha shambulizi la kigaidi dhidi ya TL na ukatili aliotendewa baada ya hapo.
Selasini kawavumilia sana! Nilisema uchaguzi uliopita umeipasua zaidi Chadema! Mnyika kawekwa mtegoni sababu ya kutafuta huruma kirahisi lakini hakuna kuaminiana wala uaminifu tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimchezo mchezo hiki chama nacho kinaenda kuwa vile vyama vyenye mwenyekiti tu. Mungu tuepushe na hili janga
Team Mbowe kazini!Uliahidi ndani ya bunge kwamba kama Ben asipopatikana utahakikisha unawaunganisha wazee wa Rombo ili wahakikishe mtoto wao anapatikana , lakini muda ukapita bila muunganiko huo kufanyika .
Kwa bahati mbaya mambo yakakuharibikia zaidi ukaondolewa kwenye uenyekiti wa kanda ya Kaskazini kidemokrasia , umekasirika na kufura , sasa umeanza visa , tunakuomba kabla ya Usaliti mwingine hakikisha unatimiza ahadi yako
Selasini amemwandikia barua Mbowe leo Januari 13 2020 na kuwapa Nakala ya barua hiyo Spika wa Bunge Job Yustimo Ndugai na Katibu wa Bunge Steven Kagaigai.
Selasini ameweka wazi sababu za kujiuzulu nafasi hiyo kuwa kukaimishwa kwa muda mrefu bila kuthibitishwa Japo hajawahi kuonywa kwa namna yoyote ille kuashiria kushindwa kuimudu nafasi hiyo.
Hili ni tukio lingine linalothibitisha madhara ya mwendelezo wa ubabe wa Mnowe ndani ya CHADEMA.
Nyie watu ni watu wa ajabu sana
Kanuni haisemi mnadhimu akipigwa risasi nafasi yake isizibww,kazi lazima zifanyike
Sasa uhalisia wa wanaojiita Wachaga unaanza kujitokeza, Wamarangu na Warombo ni Mbwa na Paka na hawawezi kukaa sehemu moja hata siku moja, chadema ni ya Wamarangu + Machame, hivyo ni Mrombo hawezi kubali kuongozwa na Mmarangu, na kinyume chake.
Ni chuki ya ajabu!