Mbunge wa Rorya abadili rangi ya gari la kubebea wagonjwa kwa kile alichoita maslahi mapana ya wananchi wake

Mbunge wa Rorya abadili rangi ya gari la kubebea wagonjwa kwa kile alichoita maslahi mapana ya wananchi wake

Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Uchaguzi Umekwisha X 3
Hawa Wabunge Mbona Wanafanya Sarakasi Za Siasa
 
"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.
Kama hajali vyama angeweka rangi zote
 
Kulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuweka picha yake kwenye hilo gari?? 😂😂
 
"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.

Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.

View attachment 1691850View attachment 1691851
Sasa Amebadili kutoka Rangi Ipi kwenda Ipi
 
"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.

Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.

View attachment 1691850View attachment 1691851
Halaf NOA kweli Jamani ndo ibebe wagonjwa!
 
Maana ukiangalia hiyo picha haihusiani kabisa na huduma za Ambulance 😂😂😂 ni kama gari inaenda kwenye kampeni za ccm mi hunipakii humo bora nipelekwe na tax hospitali
 
mnataka ushahidi gani kwamba mnaongozwa na mazwazwa
Kwanini alipeleka gari la kubebea wagonjwa likiwa limepakwa rangi ya chama cha mapinduzi-CCM?

Kwanini gari hilo liwekewa picha ya mbunge na majina yake wakati linaenda kutumika kwa umma?

Kuna ulazima wowote wa kujinasibu kwamba yeye ndiye aliyenunua gari hilo wakati akijua pesa aliyotumia kununulia gari hilo ni kodi za wananchi kupitia kodi za kwenye manunuzi ya vitu mbalimbali kwa matumizi ya kila siku?
 
Back
Top Bottom