OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
mnataka ushahidi gani kwamba mnaongozwa na mazwazwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hajali vyama angeweka rangi zote"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.
Sasa Amebadili kutoka Rangi Ipi kwenda Ipi"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.
Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.
View attachment 1691850View attachment 1691851
Halaf NOA kweli Jamani ndo ibebe wagonjwa!"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.
Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.
View attachment 1691850View attachment 1691851
Labda lenyewe ndo ligonjwaKulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuweka picha yake kwenye hilo gari?? 😂😂
Kwanini alipeleka gari la kubebea wagonjwa likiwa limepakwa rangi ya chama cha mapinduzi-CCM?mnataka ushahidi gani kwamba mnaongozwa na mazwazwa