Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu amwaga chozi hadharani akiwa kwenye ziara ya kukagua changamoto za shule hasa vyoo na madarasa

Kavideo kako wapi? Wengine tuna machozi ya karibu tumsaidie kulia
 
Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa.
Ndiye huyu hapa Mkuu! Mpaka kufika 2025 watalia sana! CHADEMA watuwekee tu wagombea wenye hekima na busara tumalize mchezo!
 

Attachments

  • VID-20230918-WA0004.mp4
    8.7 MB
Ni kazi yake analia nini?
 
Huyo aache kulia. Kwani hajui matundu mengi ya vyoo ni kwa msaada wa Watu wa Marekani? Aende tu ubalozini na kesho tu watawajengea kwa vile ni vidola vichaches sana. Ukiambiwa malipo yake huyu utashangaa kwa nini atoe machozi na huku kajaa mapesa kedekede.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…