Pre GE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akili ndogo, let me tell you something
1. I don’t support ole sendika shooting
2. I have no interest whatsoever
3. Kuna serious gap ya knowledge ya chanzo cha tukio…. Siasa za kule ngumu sana na ole ana drama sana

KWa tuliosoma naye sekonderi tunafahamu
 

Akili ndogo, you have nothing to tell me. Tell it to yourself!
 
Mkuu kaharibuje soko la watalii?


Madini mengi yalikuwa yana nunuliwa na wageni mara nyingi kama zawadi sasa serikali kupiga marufuku kuuza Arusha maana yake ni kwamba wageni hawawezi kununua tena lakini wageni hawapiti simanjiro wakienda mbugani! Huyu mzee ndiye alipiga hizi kampeni na CCM wakafanya kisiasa. Ndiyo sababu kubwa watamuondoa.
 
We waweza tuma watu waje kukushambulia kwa risasi? utakuwa ni mmojawapo kati ya waliopanga hilo tukio, ndio maana umekimbilia hapa kumtuhumu eti (katengeneza tukio kijinga) itabidi Polisi waanze na wewe.
Huyo hajashambuliwa wala hajashambuliwa. Hakuma sehemu nimesema kashambuliwa au katuma watu
 
Kwa tunaomjua Sendeka nawaambia hivi - Hii ni movie kajitengenezea ili kup[ata huruma baada ya kuona hana tena nafasi ya kuwa mbunge. Vijana wanamkimbiza balaa. Sio mara ya kwanza kuanzisha matukio. Alifanya hivyo Lobosireti 2020 akawaambia vijana wapigane ili wasiumizane sana ili ionekane polisi waliofika kutuliza fujo waliwapiga wananchi. Msiomjua ndio mtaharisha kumuonea huruma. Sendeka ni janjawidi. Haya tusubiri taarifa baada ya uchunguzi.
 
Kwanza nani ampige na kwa lipi hasa ?
 
Pengine magaidi ya Hamas wapo kazini bado
 
Hahaha una mkumbuka yule mbunge wa mwanza Mwaka 2000 aliye mwagiwa asali???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…