Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

Hadi july ije ifike upinzani si watakuwa wameshaisha?
Upinzani hauishi Mkuu ila malaya wa kisiasa ndio wanaisha,tena upinzani ndio unazidi kukua maana hawa Malaya wa kisiasa wanazidi kuimalisha upinzani kwahiyo wapinzani wanazidi kuwa makini next time kupokea watu kutoka CCM.
 
James Ole Millya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya chadema amejiuzulu ubunge na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. View attachment 889617View attachment 889618
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/390/390326.jpg?1515158463[/IMG]
Francis12
JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
6,946 18,443 280
Aug 4, 2018#1
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
 
Kwani bei inayozungumzwa ni sh ngapi afu hizo fedha wanapitishia benki au wanapewa kwenye masandarusi
Hiyo fedha ni Dirty Money kama zile za madawa ya kulevya haziachagi tracks na hauwezi kuiona au umesahau jamaa aliyekamatwa na mil700 kwenye mabegi dodoma?
 
Jambo la kushangaza ni kuwa watu wa namna moja pekee ndio wanahama KUUNGA MKONO JUHUDI kila siku. Mbona wananchi hawajitokezi kwa wingi kwenye chaguzi kuunga mkono kwa kukipigia chama kura kwa wingi?
 
Wakati nikiwa kijana mdogo, enzi zile ambazo tulikuwa na viongozi na sio watawala, niliwahi kusoma kwenye kitabu kimoja cha hadithi kuwa kijana wa kimasai ili awe na qualifications za kuoa alitakiwa aue Simba. Sijui kama idadi ya Simba wakati huo ilikuwa inaendana na idadi ya Morani waliokuwa wanahitaji kuoa.

Jana nilivyosoma kwenye magazeti kuwa Morani wanane walishindwa kumdhibiti Simba wakawa wanapiga simu za kuomba msaada, nikajua kumbe ile hadithi niliyosoma enzi zile kwa sasa ni not applicable. Kwa hiyo sishangai kusikia na kushuhudia vitendo vya hili toleo jipya la Wamasai.
 
Na huyo amehongwa Tshs ngapi? Wanazidi kupukutika, m\Kiti na kina mashinji,msigwa, Lema wao wasema chama kinazidi kuimalika. Hiyo ni Kweli? Mtapata taabu sana.
 
Wahame wote, wachumia tumbo hao wanaoletea hasara taifa!
 
Laana
James Ole Millya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya chadema amejiuzulu ubunge na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. View attachment 889617View attachment 889618
Nafasi ya 10 toka umasikini dunia imeletwa na ccm sio jukwaa la CHADEMA,ulikuja uchi umerudi uchi tukiwa nafasi ileile ya 10 kwa umasikini duniani,Hivyo Ole Millia na wewe ni maajabu kama maajabu mengine yote ya kufungia Tv na Magezeti nchini ili kujifanya mnakubalika kumbe ni aibu ya kung'ang'aniw nafasi ya 10 toka mkiani tokiea uhuru.

Ole Millia ni kijana aliepitwa na wakati,kwani kurudi mavumbini sio kuikimbia dunia bado ni kubakia duniani.Ningekuelewa kama ungechukua vijana elfu moja kuwapeleka japani na china ili waje waibadilishe simanjiro kwa ubunifu na kilimo bora..
Kwa hilo kijana umekula matapishi uliyoyatapika mwenyewe,Mbona mawimbi barabarani toka Dsm mpakaTunduma hausemi.Umeamua kuamini katika umbali sifuri.
 
Bado yule mama wa same mashariki maana haonekani jimboni , hakuna alichokifanya ,ccm mbele kwa mbele
 
Mbona Kisugar Sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…