Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Fact
 
Acha kukengeuka kamanda!
Jifunzeni kuweka akiba ya maneno. Leo hii Jakobo wa Ubungo anaweka wapi kitambi chake!?
Mkuu hebu tukubaliane katika kutokukubaliana ili nikuache uendelee na safari yako maana naona nakuchelewesha bure!
 
Swali la wapi ruzuku ya chama inaenda limekuwa gumu sana kwa mbowe .

Yupo tayari atumie mwezi mzima kuwaelezea bavicha namna ccm inavyonunua watu badala ya kutumia dakika moja kueleza kwa nini ruzuku ya chama haifiki wilayani.
Mnapata taabu sana,
mmeishiwa facts mnahangaika na majungu,
Mara....,anekakaa muda mrefu, mara kala ruzuku...,khaaaaa
Mnataka awekwe TUPOI ili iwe rahisi kununulika?,
Chama Cha MAFEDHULI...,hapo m mechemsha.
 
Moderator tuondolee neno tetesi hapa , hii si tetesi tena .
 
Lumumba hawajui hii,
Bila Yanga Imara Simba itayumba pia.
 
Kura za maoni 2020 yatandundana hayo!!! Tunasubiri....
 
.....
......Mkuu uliona mbali sana
 
Alumni wa LLM Centre for Human Rights - University of Pretoria
 
Hivi na sisi wapiga domo huku mitandaoni hakuna fungu letu tuanze kuunga mkono juhudi za Rais hapa JF?

Nawakaribisha inbox niingie kundi la malaya angalau nimeambulia walau Passo.
 
Huyo naye karudi alikotoka so no problem.....
 

Kuuzwa au kujiuza hakujaanza leo mkuu. Na hakutakwisha leo.
Mbona akiuzwa mchezeji wa timu haiitwi biashara ya utumwa!!
Yawezekana CDM wanazalisha wachezaji wazuri zaidi ya "huku kwetu"
Wanaojiuza kwenye ajira mbalimbali mbona hatupingi hilo.

Waache wajiuze au wauzwe kama kuna uhitaji wa kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…