Kiporo kipya
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 399
- 381
Hata mimi nitahamia kwa Mama mwenye nyumba muda si mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactWangemwapisha fasta kama Mbunge mpya wa CCM jimbo la Simanjiro then hizo gharama za kurudia uchaguzi zikafanye maendeleo hapo Simanjiro. Wilaya ambayo haina hospitali ya wilaya, Wilaya ambayo 90% ya eneo lake halina lami, wilaya ambayo kuna changamoto za maji safi na salama, wilaya ambayo bado sehemu kubwa ya kata zake hazina umeme, wilaya ambayo ofisi za halmashauri hazina hadhi
Mkuu hebu tukubaliane katika kutokukubaliana ili nikuache uendelee na safari yako maana naona nakuchelewesha bure!Acha kukengeuka kamanda!
Jifunzeni kuweka akiba ya maneno. Leo hii Jakobo wa Ubungo anaweka wapi kitambi chake!?
Mnapata taabu sana,Swali la wapi ruzuku ya chama inaenda limekuwa gumu sana kwa mbowe .
Yupo tayari atumie mwezi mzima kuwaelezea bavicha namna ccm inavyonunua watu badala ya kutumia dakika moja kueleza kwa nini ruzuku ya chama haifiki wilayani.
Lumumba hawajui hii,kifo cha upinzani ni janga kwa watanzania wote. ndio maana yule mzee wa mwitongo alikubali kura 20% zishinde dhidi ya 80% kwa sababu maendeleo chanya yanaletwa nguvu mbili zinazokizana.
''AKITUMALIZA SISI ATAANZA NA NYIE'' TUNDU LISU
.....Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.
Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!
Wabongo mtasubiri sana!!
Unaujua mkataba wetu wa makubaliano tunapo hama?Kura za maoni 2020 yatandundana hayo!!! Tunasubiri....
Kuna nogeshwa na Biashara ya Bin-adam?, biashara aliyoisema J.K. Nyerere alipowahutubia vijana toka moshi (ya Kuuza mwili na akili)?,
Endeleeni na hizo biashara huku mkijidanganya MNAPENDWA na mnakuza uzalendo....!,kwa Malipo ama ya taslim au ahadi etc...., Mnachokipanda mtakivuna na mkipokee Wapanda UDHALIMU huvuna UDHALIMU.