TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Sasa atazikwa Dodoma na watu 10.Ila mama Rwakatare ana bahati sana alifia Dar. La sivyo angefia Dodoma angezikiwa Dodoma.
 
G Sam,
Mnanichanganya. Mara ameanguka ghafla uwanja wa bunge, mara amefia hotelini. Ni jipi sahihi? Na hivyo vifaa vya kujifukiza kukutwa chumbani ina maana alikuwa anajitibu corona? Basi RIP Richard. Kumbe kujifukiza siyo tiba ya corona.
 
Ugonjwa wa changamoto ya upumuaji ni hatari zaidi ya Corona mazee.
 
adi kufika june mwaka huu waheshimiwa wengi watakuwa wameisha likimbia bunge…………...

Leo Ni Siku ya mwisho kuhitimisha bunge...corola imeona ifunge bunge na mmoja..ila atakuwa kaawaachia baadhi ya wabunge na totozi huko hotelini...

Kama aligusana na spika wa bunge hakika dhambi zake zimeshasamehewa kabla ya mazishi.

R I P
 
Umeelewa comment yangu nimeandika "Wasomi" na maanisha wingi hata kama sio yeye ila asilimia kubwa bungeni wana elimu kiasi.
Ndiyo nmekuelewa ila pia wengi huo walifeli darasa la 7 wakarudia kwa majina ya kisukuma marais wa kuandikwa kwenye mawe Iramba
 
Amekutwa amefariki hotelini

Amefariki baada ya kuanguka ghafla kwny viwanja vya bunge

Swali ni je baada ya kuanguka akaenda hotelini mauti yakamkuta au?
 
View attachment 1434416

Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo.

Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo.

Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza.
RIP Mh. Mbunge.

Hapo kwenye vifaa vya kujifuliza ndiyo umeleta siasa sasa!! Hahaha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom