TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka nilipokuwa kinda, kuna methali nilifundishwa ikisema " mficha maradhi kifo kitamuumbua" sasa jamaa anaficha maradhi yanayotukabili, tutegemee vifo vitaliandama taifa, na sababu ziko wazi.
 
View attachment 1434416

Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo.

Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo.

Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza.
Maskini. Inauma wanajifukiza na wanakufa. Wataondoka wengi.
 
Zamu yake tayari, Je zamu yako na yangu,?

Mungu anawagiza watu wote Watubu na kurejea kwake wangali wakiwa hai bado

RIP Mh ndassa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom