Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Duh! Lini mkuu?Duh... Ngj nconfirm
Kama ni yeye nlipiga naye sana masanga
Nlibahatika kupata offer zke 1,2,3
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu za kujikinga na huu ugonjwa zimeisha tangazwa, ni juu yako kuzifuata ,Hapa inagusa mkakati wa kupambana na corona kitaifa ujumbe wangu haumhusu mheshimiwa marehemu, inagusa ulegevu katika kusimamia ishu ya corona
Mkuu kuna wakati mnatakiwa mpunguze Siasa, hali yaweza kuwa mbaya ila sio kama mnavyokazana kuelezea hapa. Italy ni nchi iliyoendelea lakini imefika mahali watu wanafia majumbani, mtu anapiga simu kazidiwa ambulance inakuja baada ya masaa saba,Uwezi kuona mambo hayo nchi zilizoendelea mtu sijui kafia njiani kwa sababu asilimia kubwa ya kupambana na hili janga wenzetu wamewekeza nguvu kwenye health promotion (public knowledge).
Kwa hiyo kwa sasa hujakamilika ama mbona hatukuoni tena au umejigundua wewe ni wa kike tu 🤣🤣🤣🤣 bashite bhana
DuhKuna mtalaamu mmoja alimshauri mgonjwa wa CVD kwamba kama anaumwa na Yuko siriazi asilale!!! Akilala haamuki, sijui hii inasaidia? Watalaamu mtujuvye pia hili kama linsukweli
Kwa taarifa tu hata UK kuna wazee wengi wanafia kwenye care homes. Wazungu wamejikita kuokoa maisha yanayowezekana kuna baadhi ya watu wazima kutokana na complication za afya zao hata kuwekwa kwenye ventilators aiwezekani solution yao ni ‘palliative care’ tu.Mkuu kuna wakati mnatakiwa mpunguze Siasa, hali yaweza kuwa mbaya ila sio kama mnavyokazana kuelezea hapa. Italy ni nchi iliyoendelea lakini imefika mahali watu wanafia majumbani, mtu anapiga simu kazidiwa ambulance inakuja baada ya masaa saba,
hospitalini wanapungukiwa ventilators inafika mahali wanawachomolea wazee ventilators wanasubiria kifo wanawapachika vijana,Spain hivyohivyo ingia google na YouTube hizi habari utazikuta. Ila ukisoma threads nyingi JF watu ni kama either hamjui kinachoendelea duniani au mnafanya kusudi. Na UCCM na UCDM umefanya vijana wengi wawe na a za kipumbavu.
Waliweka na kumepunguza vifo.Mbona corona ipo dunia nzima sasa kwa hiyo kote huko hawakuweka zuio la watalii?
Hivi mpaka afe nani ndio serikali itasikia? Coved-19 haina mshindani
Lockdown tujikinge.
Samia/Majaliwa fanyeni la kumpendeza Mungu si mwanadamu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Asema Bwana
Waulize mods wameweka title wao mimi nilichoandika ndicho ninachokijua
Zee zima akili sifuri.Ametuma kutoka Chato mafichoni?
Mbowe amepiga kelele sana bungeni akitaka wabunge wapimwe. Alipuuzwa. Laiti kama ushauri huu ungezingatiwa, huenda maisha ya Mh Ndassa yasingekoma leo!Na ndio maana huku uswahili hatuchukui hatua na kuambukizana sababu ya imani kama yako!
"corona ipo tuchukue tahadhari"