Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Inapofikia hatua mpaka mtu anafia njiani jua watu hawana elimu ya kutosha juu ya huu ugonjwa.
Uwezi kuona mambo hayo nchi zilizoendelea mtu sijui kafia njiani kwa sababu asilimia kubwa ya kupambana na hili janga wenzetu wamewekeza nguvu kwenye health promotion (public knowledge).
Watu wanaposema communication mix strategy ya serikari na packaging of information ni hafifu haya ndio matunda yake.