TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Inapofikia hatua mpaka mtu anafia njiani jua watu hawana elimu ya kutosha juu ya huu ugonjwa.

Uwezi kuona mambo hayo nchi zilizoendelea mtu sijui kafia njiani kwa sababu asilimia kubwa ya kupambana na hili janga wenzetu wamewekeza nguvu kwenye health promotion (public knowledge).

Watu wanaposema communication mix strategy ya serikari na packaging of information ni hafifu haya ndio matunda yake.
 
Hapa inagusa mkakati wa kupambana na corona kitaifa ujumbe wangu haumhusu mheshimiwa marehemu, inagusa ulegevu katika kusimamia ishu ya corona
Taratibu za kujikinga na huu ugonjwa zimeisha tangazwa, ni juu yako kuzifuata ,
Stay at home = to lock down yourself
Toka nje pale inapobidi = isolate yourself
Kunywa maji Mengi = white blood cells na kuongeza immunity
Exercise =
Nawa maji tiririka
 
Uwezi kuona mambo hayo nchi zilizoendelea mtu sijui kafia njiani kwa sababu asilimia kubwa ya kupambana na hili janga wenzetu wamewekeza nguvu kwenye health promotion (public knowledge).
Mkuu kuna wakati mnatakiwa mpunguze Siasa, hali yaweza kuwa mbaya ila sio kama mnavyokazana kuelezea hapa. Italy ni nchi iliyoendelea lakini imefika mahali watu wanafia majumbani, mtu anapiga simu kazidiwa ambulance inakuja baada ya masaa saba,

hospitalini wanapungukiwa ventilators inafika mahali wanawachomolea wazee ventilators wanasubiria kifo wanawapachika vijana,Spain hivyohivyo ingia google na YouTube hizi habari utazikuta. Ila ukisoma threads nyingi JF watu ni kama either hamjui kinachoendelea duniani au mnafanya kusudi. Na UCCM na UCDM umefanya vijana wengi wawe na comments za kipumbavu.
 
Naanza kupata picha kauri ya wazungu kuwa tutaokota maiti mitaani,,Mungu atuponye na janga hili
 
Mkuu kuna wakati mnatakiwa mpunguze Siasa, hali yaweza kuwa mbaya ila sio kama mnavyokazana kuelezea hapa. Italy ni nchi iliyoendelea lakini imefika mahali watu wanafia majumbani, mtu anapiga simu kazidiwa ambulance inakuja baada ya masaa saba,

hospitalini wanapungukiwa ventilators inafika mahali wanawachomolea wazee ventilators wanasubiria kifo wanawapachika vijana,Spain hivyohivyo ingia google na YouTube hizi habari utazikuta. Ila ukisoma threads nyingi JF watu ni kama either hamjui kinachoendelea duniani au mnafanya kusudi. Na UCCM na UCDM umefanya vijana wengi wawe na a za kipumbavu.
Kwa taarifa tu hata UK kuna wazee wengi wanafia kwenye care homes. Wazungu wamejikita kuokoa maisha yanayowezekana kuna baadhi ya watu wazima kutokana na complication za afya zao hata kuwekwa kwenye ventilators aiwezekani solution yao ni ‘palliative care’ tu.

Issue hapa kwetu ni ‘primary intervention’ (public knowledge) ukimsikiliza mgonjwa yeyote wa Coronavirus aliepona atakwambia yeye mwenyewe alianza kuisi hayupo poa sio mahututi na kutafuta vipimo ili kujiridhisha. Sasa kwa wote ujue ndio ivyo ivyo inavyoanza.

Mtu ambae anafikia hatua mpaka kufa akielekea kazini ina maana alijua hali yake sio nzuri, baadae dalili zenyewe zikajitokeza, akaanza kujifukiza kwa siri na bado akawa anauzuria vikao vya bunge wakati ugonjwa wenyewe unaambukiza kirahisi.

Uoni hapo kuna tatizo la uelewa kwenye jamii tena huyu msomi na kiongozi; kiini chake ni simple (health promotion x10).

Mimi sio mpuuzi napoomba kwa Max futa post ambazo zinapotosha kuhusu huu ugonjwa ujui nani anasoma na kuamini siku akipata huo ugonjwa akawa na dhana potofu ya kukabiliana nao kitu ambacho ni risk kwa uhai wake.

We Tanzanians have our own unique way of looking at life which is very costly.
 
Hivi mpaka afe nani ndio serikali itasikia? Coved-19 haina mshindani
Lockdown tujikinge.

Samia/Majaliwa fanyeni la kumpendeza Mungu si mwanadamu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Asema Bwana

Nchi zote wanapambana hivi sasa kuondoa lockdown. Unless unaishi nchi ya kusadikika. Lockdown Watanzania wakale wapi?
 
Waulize mods wameweka title wao mimi nilichoandika ndicho ninachokijua

Kwa hiyo Mods ndio wamebadili ulichoandika? Hebu basi andika kile ambacho ulikuwa umeandika ili tusimwandame our beloved Mod?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom