Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh...!. Ila Wasukuma tunapenda vitu vizuri!.Homeman mtaa wa mafere, siku kaanza tu ubunge akavuta Ranger rover nyekundu tunepiga maji mango kaiacha pale karudi hm kwa mguu.
Wazee wa kazi wakaichezea sana waondoke nayo aah wapi iligoma, siku ya pili tunapiga supu huyo kaja kapiga key kaondoka.
Hilo nalo neno kabisahuu mwaka wa uchaguzi. wengine watatiwa sumu wafe wapishe jimbo isingiziwe korona. apimwe kama hakutiwa sumu. tuzidi kusali na kuchukua tahadhari.
Kila siku ni mwendo wa edit..Rais asifute hiyo salam za rambi rambi, badala yake awe ana edit majina tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poshohivi wabunge bado wapo mjengoni. kwa jipya lipi
nguvu, usiwe muoga wa majini, mapepo, kuona usiku kama mchana ila kikubwa konektion
Yaan NYUZI Kama izi hazikawii kufutwa...Bora nimewahi uzi haujaufutwa
Duh...!. Ila Wasukuma tunapenda vitu vizuri!.
RIP Mzee wa vitu vizuri ikiwemo Range nyekundu.
P