TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Tatizo la upumuaji?
Hahaha upumuaji ni kama watu wasiojulikana, vinapita tu kimyakimya. Serikali ya awamu ya tano. SMF
 


Ndassa ana undugu na mamangu basi kule kwa bibi akienda ilikua zinaangushwa mbuzi na bia za kutosha vibaya sana .dah rip !leo ni vilio tu
 
Hiyo yote ni kuogopa gharama za kijikarantin. Serikali isiruhusu watu wajifanyie self isolation bila serkali kuwa na taarifa nao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…