Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Basi na hii watafichaficha hao.. Hebu tuone show itakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya mada kidogo...Kwa namna Serikali ya JPM ilivyoamua kulihandle suala la Covid-19 patachimbika sanaKuna tetesi kuwa mbunge mmoja wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Tunafuatilia
Na ndio maana huku uswahili hatuchukui hatua na kuambukizana sababu ya imani kama yako!
Poa
Ni wa Sumve sio Kwimba. Kwimba mbunge wao ni muhindi anaitwa MasoorMbunge RICHARD NDASA , Mbunge wa KWIMBA CCM amefariki DODOMA HOTEL leo
Samahani lakini ukweli ni kwamba unastahili kuitwa zezeta. Mambo ya U-CCM yanahusiana vipi na vifo???
Ni kweli SUMVE Wilaya ya KWIMBAKafariki akiwa Hotelini? Eh hatari... Ila ni mbunge wa Sumve sio Kwimba.
Nda Nde Ndi......sa, se siKuna tetesi kuwa mbunge mmoja wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Tunafuatilia
Taarifa nyingine huanza kama tetesi wacha ushamba, sio taarifa zote mpaka press conference kama za wale wanaofika bei.Uliona shida gani kusubiri upate taarifa kamili ndio ulete hapa?
Au ndio unataka uambiwe umekuwa wa kwanza kuleta habari
Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera
Ni mbunge wa wapi?Ni Richard ndassa,kwa changamoto za kupumua,kwa mujibu was kigogo 2014
Sent using Jamii Forums mobile app