Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Inabidi tuanze kumwambia Mungu ni Beberu maana ametuhujumu kwenye hivi Vita vya Corona ...Asa itakuaje[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tuanze kumwambia Mungu ni Beberu maana ametuhujumu kwenye hivi Vita vya Corona ...Asa itakuaje[emoji848]
alafu anatak aishaur GovernmentRudi shule ukajifunze kizungu ndio uje uandike upupu wako hapa
Ndio nini eti why should you locked down....? Idiot
Mimi kuzungumza kiingereza sio sababu ya Mimi kuwa Muingereza ... Wasukuma badirikeni baaaana ...Mkuu basi wewe huwajui vzr wasukuma..nenda shinyanga ukawaone wanavyokichabanga kisukuma hao waarabu unaowasema wewe ..! Nenda didia huko ndani ndani...!
Wa kwanza nani leo mkuu? Mbona wanapuputika hivi?
Mbunge mkongwe zaidi ni Andrew ChengeInaonekana ndo alikuwa Mbunge mkongwe zaidi bungeni tokea 1995 alikuwa bungeni.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala panapostahili.
A little bit less than u, that's why , what u r writing is rubbish, childness na ushamba fulani hivi , ndio maana unafikiri kila kitu ni serikali badala ya kutumia common sense na hata hiyo biblia huielewiRudi shule ukajifunze kizungu ndio uje uandike upupu wako hapa
Ndio nini eti why should you locked down....? Idiot
Nani ana CV ya Ndassa ?Nimemshangaa sana kujifukiza.
hawa ni maarufu ndio maana taarifa unazipata,nikifa mm unazani nani atapoteza mb zake kuningumzia hapa[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Mbunge wa Sumve mkoa wa Mwanza.Mpaka sasa sijajua Ni mbunge wa jimbo gani ila sina shaka itakuwa Ni kanda ya nyonyo
Mkuu nijuze chochote unachofahamu kuhusu ndasa
Andiko lako limenichekesha sana, big up.