TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Nampurukano,
No, Kuna process za kufuatana, huwezi ukawa na joto liko juu tu,ukimbilie mliganzila au Amana,
Hata ukienda unaweza kusubilishwa kwani hujapima na kuonekana unaumwa.

Yuko sawa tu kurudi kupumzika hoteli,tatizo Sasa Ni kutojua hata course ya dawa za kuanza kula kipindi umeji isolate.

Unaweza kujifukiza,pengine home ikashuka kweli,Kama una mafua pua zikafunguka,
Ishu Ni,unali address vipi tatizo la blood clotting?
 
Rudi shule ukajifunze kizungu ndio uje uandike upupu wako hapa
Ndio nini eti why should you locked down....? Idiot
A little bit less than u, that's why , what u r writing is rubbish, childness na ushamba fulani hivi , ndio maana unafikiri kila kitu ni serikali badala ya kutumia common sense na hata hiyo biblia huielewi
 
Kifo cha mbunge sio corona Bali kimesababbishwa na aliyeleta wazo la kujifukiza ...inawezekana mbunge angeenda hospitali mapema akapata tiba sahihi ila kwa sababu alikuwa chama pendwa mkubwa akishaongea unasikiliza kila kitu hiyo ndio imemgharimu

Na haitaishia kwake itawala na kuwapiga kipigo cha mbwa koko...kabla haijatufukia sisi tunaosikiliza wataalam wa afya itawapiga hapo ndani mpaka wakimbiane

Anyway binafsi naumwa kidole ngoja nikajifukize kwanza kidole changu..
 
RIP Mbunge Ngasa. Sote ni waja na hakika iposiku tutarejea. Tuombeane siku ikifika tuwe tayari kurejea kwa amani bila madoido yasiyo na sababu.

Kwenye haya maisha, hakika hakuna aliye mbabe.
 
Watu kwa sasa wanaogopa hata kusema covid-19 au Corona badala yake limezuka neno lingine
Yaani kama zile horror movie ambapo ukitaja neno jambo linatokea



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom