TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Inapofikia hatua mpaka mtu anafia njiani jua watu hawana elimu ya kutosha juu ya huu ugonjwa.

Uwezi kuona mambo hayo nchi zilizoendelea mtu sijui kafia njiani kwa sababu asilimia kubwa ya kupambana na hili janga wenzetu wamewekeza nguvu kwenye health promotion (public knowledge).

Watu wanaposema communication mix strategy ya serikari na packaging of information ni hafifu haya ndio matunda yake.
katika hili ni kuomba rehema na huruma ya MUNGU tu ni wazi kabisa bindmu na elimu zetu, maarifa, ujanja, teknolojia vyote tumekwama ndo maana hao unaosema wa nchi ziilizoendelea wamepoteza wapenwa wao tena kwa maelfu na kila kitu wanacho itakuwa sisi? sina maana ya kudharau maoni yako lakini katika hili tufanye yoote lakini tumuombe MUNGU pia kila mtu kwa imani yake atunusuru tusilaumiane wala kukwaruzana kwa maneno ya kisiasa hili janga ni letu sote.
 
Mkuu kuna wakati mnatakiwa mpunguze Siasa, hali yaweza kuwa mbaya ila sio kama mnavyokazana kuelezea hapa. Italy ni nchi iliyoendelea lakini imefika mahali watu wanafia majumbani, mtu anapiga simu kazidiwa ambulance inakuja baada ya masaa saba,

hospitalini wanapungukiwa ventilators inafika mahali wanawachomolea wazee ventilators wanasubiria kifo wanawapachika vijana,Spain hivyohivyo ingia google na YouTube hizi habari utazikuta. Ila ukisoma threads nyingi JF watu ni kama either hamjui kinachoendelea duniani au mnafanya kusudi. Na UCCM na UCDM umefanya vijana wengi wawe na comments za kipumbavu.

Mkuu UK kama wewe ni mgonjwa huwezi tena kwenda kumwona Doctor unless ni emergency, watu wafahamu huu ugonjwa sio lele mama. Ni kaugonjwa kadogo lakini ukikadharau na kutokufuata masharti unaondoka. Wahenga walisema mzarau mwiba! UK Total death up to now is over 20,000 (twenty thousand) na hao ni wa kwenye hospitali bado wanaokufa kwenye nyumba za maze nk ambao hawajahesabiwa na wao wapo ulimwengu ambao wanaweza kujichapishia mpunga as they wish.

Tanzania hata wagonjwa 5000 hawajafika mnaanza kulialia kama kasuku, amkeni na angalieni uhalisia wa hali zenu, jikinge kufuata utaratibu uliowekwa au ondoka na Covid-19.
 
katika hili ni kuomba rehema na huruma ya MUNGU tu ni wazi kabisa bindmu na elimu zetu, maarifa, ujanja, teknolojia vyote tumekwama ndo maana hao unaosema wa nchi ziilizoendelea wamepoteza wapenwa wao tena kwa maelfu na kila kitu wanacho itakuwa sisi? sina maana ya kudharau maoni yako lakini katika hili tufanye yoote lakini tumuombe MUNGU pia kila mtu kwa imani yake atunusuru tusilaumiane wala kukwaruzana kwa maneno ya kisiasa hili janga ni letu sote.
Kwa sisi hakuna namna tuombe mungu tu; kufa kupo kote hila walau wenzetu wanajaribu kuokoa maisha as much as they can.

Sio sisi ata ukiangalia mikakati ya serikari well kama ulivyosema tuombe mungu maana.
 
Jimboni ndo wanweza kueleza umuhimu wake kuliko ofisi ya Bunge. Aliyeko mitaa ya Sumve atuletee reaction ya wapiga kura wake.
 
Mbowe amepiga kelele sana bungeni akitaka wabunge wapimwe. Alipuuzwa. Laiti kama ushauri huu ungezingatiwa, huenda maisha ya Mh Ndassa yasingekoma leo!

Una uhakika amekufa kwa Covid-19?
 
😂😂Umeiweka Vizuri Mkuu., maana kwao kufa kwa covd19 wanaona ni aibu🙁
Sasa hivi ni ukweli mkavu mkavu tu. Kuna habari nyingine mbaya nimeipata hapa muda huu
 
katika hili ni kuomba rehema na huruma ya MUNGU tu ni wazi kabisa bindmu na elimu zetu, maarifa, ujanja, teknolojia vyote tumekwama ndo maana hao unaosema wa nchi ziilizoendelea wamepoteza wapenwa wao tena kwa maelfu na kila kitu wanacho itakuwa sisi? sina maana ya kudharau maoni yako lakini katika hili tufanye yoote lakini tumuombe MUNGU pia kila mtu kwa imani yake atunusuru tusilaumiane wala kukwaruzana kwa maneno ya kisiasa hili janga ni letu sote.

Mungu gani wa kuombwa wakati uo huo unawatendea ukatili binadamu wenzio?
 
Nilishasemaga humu bunge Zima Kuanzia spika, Wabunge, Makatibu, askari wa bunge nk wawekwe karantini, ila wao naona kama issue hii wanaichukulia
Poa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo mask zinawapa bichwa, wakati tunaona wakiziondoa ili wapige kelele sana. Labda Mungu ana makusudi yake kwetu kwa mwaka huu. Hapakuwa na sababu ya kuendelea na kikao cha Bunge. Wangeweza kutuma maoni tu. KIla Mbunge alinunuliwa tablet, kwa nini hawazitumii kwa mtindo huo badala yake wamezifanya ni kurasa za maandishi tu! Kama ni mahitaji ya posho, mbona wanapata mishahara?
 
katika hili ni kuomba rehema na huruma ya MUNGU tu ni wazi kabisa bindmu na elimu zetu, maarifa, ujanja, teknolojia vyote tumekwama ndo maana hao unaosema wa nchi ziilizoendelea wamepoteza wapenwa wao tena kwa maelfu na kila kitu wanacho itakuwa sisi? sina maana ya kudharau maoni yako lakini katika hili tufanye yoote lakini tumuombe MUNGU pia kila mtu kwa imani yake atunusuru tusilaumiane wala kukwaruzana kwa maneno ya kisiasa hili janga ni letu sote.
Kunawa maji yanayotirrika,kuzingatia ushauri wa Wataalamu,kujifukizia ya Jpm Kisha kuchapa kazi haifanyi kazi tena?
 
kama imekusaidia endelea nayo ndo namna ya kujinusuru maana mpaka sasa hakuna dawa, chanjo wa kinga popote duniani.
 
Apumzike mahali pema peponi,
tutazidi kumkumbuka kwa michango yake Kama kiongozi.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Duh! Hivi vifo kuna nini..??
Kwenye yale maombezi kuna watu walikuwa wanaombea korona au na mengine maana duh!!
 
Corona ifanye kama imekosea iende kule chattle ikamchukue yule jamaa.
 
Mkuu UK kama wewe ni mgonjwa huwezi tena kwenda kumwona Doctor unless ni emergency, watu wafahamu huu ugonjwa sio lele mama. Ni kaugonjwa kadogo lakini ukikadharau na kutokufuata masharti unaondoka. Wahenga walisema mzarau mwiba! UK Total death up to now is over 20,000 (twenty thousand) na hao ni wa kwenye hospitali bado wanaokufa kwenye nyumba za maze nk ambao hawajahesabiwa na wao wapo ulimwengu ambao wanaweza kujichapishia mpunga as they wish.

Tanzania hata wagonjwa 5000 hawajafika mnaanza kulialia kama kasuku, amkeni na angalieni uhalisia wa hali zenu, jikinge kufuata utaratibu uliowekwa au ondoka na Covid-19.

Umejuaje kuwa wagonjwa hawajafika hiyo number wakati si watu wengi wanaopimwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom