Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika hili ni kuomba rehema na huruma ya MUNGU tu ni wazi kabisa bindmu na elimu zetu, maarifa, ujanja, teknolojia vyote tumekwama ndo maana hao unaosema wa nchi ziilizoendelea wamepoteza wapenwa wao tena kwa maelfu na kila kitu wanacho itakuwa sisi? sina maana ya kudharau maoni yako lakini katika hili tufanye yoote lakini tumuombe MUNGU pia kila mtu kwa imani yake atunusuru tusilaumiane wala kukwaruzana kwa maneno ya kisiasa hili janga ni letu sote.Inapofikia hatua mpaka mtu anafia njiani jua watu hawana elimu ya kutosha juu ya huu ugonjwa.
Uwezi kuona mambo hayo nchi zilizoendelea mtu sijui kafia njiani kwa sababu asilimia kubwa ya kupambana na hili janga wenzetu wamewekeza nguvu kwenye health promotion (public knowledge).
Watu wanaposema communication mix strategy ya serikari na packaging of information ni hafifu haya ndio matunda yake.
Mkuu kuna wakati mnatakiwa mpunguze Siasa, hali yaweza kuwa mbaya ila sio kama mnavyokazana kuelezea hapa. Italy ni nchi iliyoendelea lakini imefika mahali watu wanafia majumbani, mtu anapiga simu kazidiwa ambulance inakuja baada ya masaa saba,
hospitalini wanapungukiwa ventilators inafika mahali wanawachomolea wazee ventilators wanasubiria kifo wanawapachika vijana,Spain hivyohivyo ingia google na YouTube hizi habari utazikuta. Ila ukisoma threads nyingi JF watu ni kama either hamjui kinachoendelea duniani au mnafanya kusudi. Na UCCM na UCDM umefanya vijana wengi wawe na comments za kipumbavu.
Nilishasemaga humu bunge Zima Kuanzia spika, Wabunge, Makatibu, askari wa bunge nk wawekwe karantini, ila wao naona kama issue hii wanaichukuliaBaada ya mbunge mmoja kutest positive, hawa wote walipaswa kuwekwa karantini na kupimwa. Huu ujeuri borders uzuzu
Kwa sisi hakuna namna tuombe mungu tu; kufa kupo kote hila walau wenzetu wanajaribu kuokoa maisha as much as they can.katika hili ni kuomba rehema na huruma ya MUNGU tu ni wazi kabisa bindmu na elimu zetu, maarifa, ujanja, teknolojia vyote tumekwama ndo maana hao unaosema wa nchi ziilizoendelea wamepoteza wapenwa wao tena kwa maelfu na kila kitu wanacho itakuwa sisi? sina maana ya kudharau maoni yako lakini katika hili tufanye yoote lakini tumuombe MUNGU pia kila mtu kwa imani yake atunusuru tusilaumiane wala kukwaruzana kwa maneno ya kisiasa hili janga ni letu sote.
Mbowe amepiga kelele sana bungeni akitaka wabunge wapimwe. Alipuuzwa. Laiti kama ushauri huu ungezingatiwa, huenda maisha ya Mh Ndassa yasingekoma leo!
Mkuu hii ya juma ni kweli?Sasa hivi ni ukweli mkavu mkavu tu. Kuna habari nyingine mbaya nimeipata hapa muda huu
katika hili ni kuomba rehema na huruma ya MUNGU tu ni wazi kabisa bindmu na elimu zetu, maarifa, ujanja, teknolojia vyote tumekwama ndo maana hao unaosema wa nchi ziilizoendelea wamepoteza wapenwa wao tena kwa maelfu na kila kitu wanacho itakuwa sisi? sina maana ya kudharau maoni yako lakini katika hili tufanye yoote lakini tumuombe MUNGU pia kila mtu kwa imani yake atunusuru tusilaumiane wala kukwaruzana kwa maneno ya kisiasa hili janga ni letu sote.
Hizo mask zinawapa bichwa, wakati tunaona wakiziondoa ili wapige kelele sana. Labda Mungu ana makusudi yake kwetu kwa mwaka huu. Hapakuwa na sababu ya kuendelea na kikao cha Bunge. Wangeweza kutuma maoni tu. KIla Mbunge alinunuliwa tablet, kwa nini hawazitumii kwa mtindo huo badala yake wamezifanya ni kurasa za maandishi tu! Kama ni mahitaji ya posho, mbona wanapata mishahara?Nilishasemaga humu bunge Zima Kuanzia spika, Wabunge, Makatibu, askari wa bunge nk wawekwe karantini, ila wao naona kama issue hii wanaichukulia
Poa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaojua MUNGU gani wataomba, wewe usiejua acha hakuna ugomvi ndugu.Mungu gani wa kuombwa wakati uo huo unawatendea ukatili binadamu wenzio?
Kunawa maji yanayotirrika,kuzingatia ushauri wa Wataalamu,kujifukizia ya Jpm Kisha kuchapa kazi haifanyi kazi tena?katika hili ni kuomba rehema na huruma ya MUNGU tu ni wazi kabisa bindmu na elimu zetu, maarifa, ujanja, teknolojia vyote tumekwama ndo maana hao unaosema wa nchi ziilizoendelea wamepoteza wapenwa wao tena kwa maelfu na kila kitu wanacho itakuwa sisi? sina maana ya kudharau maoni yako lakini katika hili tufanye yoote lakini tumuombe MUNGU pia kila mtu kwa imani yake atunusuru tusilaumiane wala kukwaruzana kwa maneno ya kisiasa hili janga ni letu sote.
kama imekusaidia endelea nayo ndo namna ya kujinusuru maana mpaka sasa hakuna dawa, chanjo wa kinga popote duniani.Kunawa maji yanayotirrika,kuzingatia ushauri wa Wataalamu,kujifukizia ya Jpm Kisha kuchapa kazi haifanyi kazi tena?
Sasa hivi ni ukweli mkavu mkavu tu. Kuna habari nyingine mbaya nimeipata hapa muda huu
Mkuu UK kama wewe ni mgonjwa huwezi tena kwenda kumwona Doctor unless ni emergency, watu wafahamu huu ugonjwa sio lele mama. Ni kaugonjwa kadogo lakini ukikadharau na kutokufuata masharti unaondoka. Wahenga walisema mzarau mwiba! UK Total death up to now is over 20,000 (twenty thousand) na hao ni wa kwenye hospitali bado wanaokufa kwenye nyumba za maze nk ambao hawajahesabiwa na wao wapo ulimwengu ambao wanaweza kujichapishia mpunga as they wish.
Tanzania hata wagonjwa 5000 hawajafika mnaanza kulialia kama kasuku, amkeni na angalieni uhalisia wa hali zenu, jikinge kufuata utaratibu uliowekwa au ondoka na Covid-19.