TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Hili Dude noma sana ,likikuta hauna kinga imara linapita na wewe popote pale.

Chukua tahadhari epuka mikusanyiko.
 
Wanaojua MUNGU gani wataomba, wewe usiejua acha hakuna ugomvi ndugu.

Kwa KUWAl NAJUA kuwa ni MUNGU JEHOVAH ambae ndie PEKEE anaepaswa kuabudiwa (NAE HAPENDI kuona ukatili) ndio nakauliza nilichouliza. Na kwa Jehovah, unapaswa kwanza kutubu na kuacha kuonea wenzio angalau kwa hivyo atasikia hayo maombi.
 
Mwenye data alete tulinganishe vifo mwezi huu na mwezi wa nne mwaka jana tutashangaa hawa ni wale mashuhuri tu

Wanasheria tu: Jaji ramadhan, Jaji pandu, jaji musa kwikima, wakili evod msando, wakili ishengoma.
 
Hizo mask zinawapa bichwa, wakati tunaona wakiziondoa ili wapige kelele sana. Labda Mungu ana makusudi yake kwetu kwa mwaka huu. Hapakuwa na sababu ya kuendelea na kikao cha Bunge. Wangeweza kutuma maoni tu. KIla Mbunge alininiliwa tablet, kwa nini hawazitumii kwa mtindo huo badala yake wamezifanya nu kurasa za maandishi tu! Kama ni mahitaji ya posho, mbona wanapata mishahara?
Dharau, ubishi, wanajiona wao level yao tofauti na sisi wakati wote njia moja tunapitia
Ila ni kuangalia tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejuaje kuwa wagonjwa hawajafika hiyo number wakati si watu wengi wanaopimwa?

Nimeweka hiyo figure kuondoa vizabina zabina wanaosema figures za Serikali zimepikwa ni hypothetical.

Swala la kupima hadi hivi sasa nchi nyingi hawawezi kupima kwa sababu vifaa vya kupima vingi ni vya kubambikiwa.

U.K. Paid $20 Million for New Coronavirus Tests. They Didn’t Work.
Facing a global scramble for materials, British officials bought millions of unproven kits from China in a gamble that became an embarrassment
U.K. Paid $20 Million for New Coronavirus Tests. They Didn’t Work.
 
Spika wa bunge la JMT mh Ndugai amesema watafanya kila njia kuhakikisha rip mbunge wa Sumve marehemu Ndassa anazikwa kijijini kwao kwa mujibu wa mila na desturi za jamii yao.

Ndugai amesema ofisi yake inashirikiana kwa karibu na familia ya marehemu na kwamba bunge litashiriki kikamilifu katika msiba wa senetor huyu ambaye aliingia bungeni mwaka 1995 na hajawahi kushindwa uchaguzi.

Source Eatv habari!
 
Nimeweka hiyo figure kuondoa vizabina zabina wanaosema figures za Serikali zimepikwa ni hypothetical.

Swala la kupima hadi hivi sasa nchi nyingi hawawezi kupima kwa sababu vifaa vya kupima vingi ni vya kubambikiwa.

U.K. Paid $20 Million for New Coronavirus Tests. They Didn’t Work.
Facing a global scramble for materials, British officials bought millions of unproven kits from China in a gamble that became an embarrassment
U.K. Paid $20 Million for New Coronavirus Tests. They Didn’t Work.

Arguments za aina hii zinapatikana sehemu moja tu duniani kote; mtaa wa lumumba.
 
Dharau, ubishi, wanajiona wao level yao tofauti na sisi wakati wote njia moja tunapitia
Ila ni kuangalia tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu level hapa duniani zinatofautiana unaweza kuwa kwenye ngazi ya kutoa maamuzi na unaweza kuwa wa kupokea maelekezo tu kwa sababu huna huo uwezo. Wacha kujikweza kwenye mambo ambayo ni obvious. Cha msingi ni kwamba wote ni binadamu na wote tunakufa baada ya muda wetu hapa duniani. Kila moja amewekwa na mwenyezi mungu kwa kazi tofauti tofauti na uwezo tofauti tofauti wengine hadi wanakufa hawafahamu kwa nini walizaliwa na wapo hapa duniani kwa kazi gani.
 
Daaah so shameful... Covid-19 inawacheki tu hizo dharau zenu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom