Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Bundi kalia wapi kamandaSasa hivi ni ukweli mkavu mkavu tu. Kuna habari nyingine mbaya nimeipata hapa muda huu
Sijazungumzia Umri nimezungumzia kuwepo kwake bungeni....Chenge ni wa 2005 tu hapo .Mbunge mkongwe zaidi ni Andrew Chenge
Wanaojua MUNGU gani wataomba, wewe usiejua acha hakuna ugomvi ndugu.
Dharau, ubishi, wanajiona wao level yao tofauti na sisi wakati wote njia moja tunapitiaHizo mask zinawapa bichwa, wakati tunaona wakiziondoa ili wapige kelele sana. Labda Mungu ana makusudi yake kwetu kwa mwaka huu. Hapakuwa na sababu ya kuendelea na kikao cha Bunge. Wangeweza kutuma maoni tu. KIla Mbunge alininiliwa tablet, kwa nini hawazitumii kwa mtindo huo badala yake wamezifanya nu kurasa za maandishi tu! Kama ni mahitaji ya posho, mbona wanapata mishahara?
Umejuaje kuwa wagonjwa hawajafika hiyo number wakati si watu wengi wanaopimwa?
Nimeweka hiyo figure kuondoa vizabina zabina wanaosema figures za Serikali zimepikwa ni hypothetical.
Swala la kupima hadi hivi sasa nchi nyingi hawawezi kupima kwa sababu vifaa vya kupima vingi ni vya kubambikiwa.
U.K. Paid $20 Million for New Coronavirus Tests. They Didn’t Work.
Facing a global scramble for materials, British officials bought millions of unproven kits from China in a gamble that became an embarrassment
U.K. Paid $20 Million for New Coronavirus Tests. They Didn’t Work.
Dharau, ubishi, wanajiona wao level yao tofauti na sisi wakati wote njia moja tunapitia
Ila ni kuangalia tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
I wouldn't lose my sleep for not agreeing with a great Tinker!Arguments za aina hii zinapatikana sehemu moja tu duniani kote; mtaa wa lumumba.