Kifimbo cheza Bana, yeye mwenyewe hapo alipo Afya mgogoro, Spana Mkonon
Tena huyo na maradhi yake ndio hali tete sana kwani hakuna visa ya kwenda India tena!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifimbo cheza Bana, yeye mwenyewe hapo alipo Afya mgogoro, Spana Mkonon
Kwani hukuona alizikwa kwenye Kanisa lake kama walivyokuwa wameomba ndugu zake?? Sasa ulitaka akazikwe wapi wakati Maaskofu huzikwa kwenye Kanisa alilokuwa anahudumu??Jamani mbona kwa mama yetu G Lwakatare mlishindwa kujitahidi au mila zake zilikuwa zinaruhusu nyie kupanga mazishi yake?
mkuu umejuaje na huyu serikali haitopanga mazishi yake ? mbona yule mkuu wa wilaya serikali imepanga mazishi yake ukiangalia zile picha kuna watu wa hospital,misiba yote sasa inapangwa na serikaliJamani mbona kwa mama yetu G Lwakatare mlishindwa kujitahidi au mila zake zilikuwa zinaruhusu nyie kupanga mazishi yake?
I wouldn't lose my sleep for not agreeing with a great Tinker!
Unaweza kuta akina msigwa tu yeye hata hajui yanayoendelea.Jamaa chato anaandika salam za rambirambi wiki hii hadi akili imkae
umeonewa na nani?Kwa KUWAl NAJUA kuwa ni MUNGU JEHOVAH ambae ndie PEKEE anaepaswa kuabudiwa (NAE HAPENDI kuona ukatili) ndio nakauliza nilichouliza. Na kwa Jehovah, unapaswa kwanza kutubu na kuacha kuonea wenzio angalau kwa hivyo atasikia hayo maombi.
Tumia akili ya kuzaliwa, ukipimwa Leo, ukawa huna, je kesho au keshokutwa huwezi kupata?Mbowe amepiga kelele sana bungeni akitaka wabunge wapimwe. Alipuuzwa. Laiti kama ushauri huu ungezingatiwa, huenda maisha ya Mh Ndassa yasingekoma leo!
Kweli? Corona ni sawa na wapinzaniMbunge was Sumve Richard Ndassa kafariki leo mchana Dodoma.
umeonewa na nani?
Kumradhi...alikuwa mwandishi wa habari wa gazeti la mfanyakazi, nilichanganya na Bujiku Sakila ndio alikuwa mwalimu wa Ngudu secNadhani alikuwa mwalimu Ngudu secondary kabla ya kugombea ubunge.
kumbe wewe unaleta mambo ya siasa kwenye suala la ugonjwa, haya bwana mimi siko huko katika hili nikutakie usiku mwema na familia na MUNGU aendelee kuwalinda.It is not about me dude, but whoever has been illtreated by those misusing powers.
Mkuu Kama una hela agiza ventilator toka China,unafunga kwako,,teua chumba maalumu,,ajili madaktari toka Wuhan,,saa hivi hawana kazi kule ugonjwa uliisha,so Wana uzoefu wa kudeal na huu ugonjwa,,nunua pia testing kit na reagent zake,yaani uwe full..Kwa sisi hakuna namna tuombe mungu tu; kufa kupo kote hila walau wenzetu wanajaribu kuokoa maisha as much as they can.
Sio sisi ata ukiangalia mikakati ya serikari well kama ulivyosema tuombe mungu maana.
Wanaacha kuwapima kwa makusudi wakidhani wanwakomoa WAPINZANI kumbe wanajikomoa wenyewe.Uzembe uko kwa uongozi wa bunge,,walitakiwa kuwafanyia follow-up wabunge wanaopima joto juu na immediately wapimwe corona,huu uzembe wasipoangalia watapoteza wengi