TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Mbowe na Chadema kwa ujumla wake wataweza kuliokoa Taifa. sisiem na sirikali KWISHNEY
Praise Team mmepungua wapi mbaya?!
Tujifukize tuuuu sisi IDIOTS
 
Jamani mbona kwa mama yetu G Lwakatare mlishindwa kujitahidi au mila zake zilikuwa zinaruhusu nyie kupanga mazishi yake?
Kwani hukuona alizikwa kwenye Kanisa lake kama walivyokuwa wameomba ndugu zake?? Sasa ulitaka akazikwe wapi wakati Maaskofu huzikwa kwenye Kanisa alilokuwa anahudumu??
 
Jamani mbona kwa mama yetu G Lwakatare mlishindwa kujitahidi au mila zake zilikuwa zinaruhusu nyie kupanga mazishi yake?
mkuu umejuaje na huyu serikali haitopanga mazishi yake ? mbona yule mkuu wa wilaya serikali imepanga mazishi yake ukiangalia zile picha kuna watu wa hospital,misiba yote sasa inapangwa na serikali
 
I wouldn't lose my sleep for not agreeing with a great Tinker!

Because you are an idiot who is incapable of seeing the truth when it is staring at you.
Same as your god who was wishing away the problem when he had time to act declaring to all and sundry but later ran like a coward dog with his tail between his legs when the going got tough.

You will meet the same fate, only you won't have anywhere to ran to.
 
Mfano Yule babu aliyewaita wapinzani kuwa ni "MALOFA"2015, akate moto ghafla alafu tuambiwe kuwa mazishi yake utakuwa chini ya watu wasiozidi 15.

Nini maoni yako. Samahani nimetoka ya mada kidogo maana nimewaza sana
 
Mwenyekiti wa Nccr mageuzi ambaye ni mbunge wa Vunjo mh Mbatia amewataka wabunge wenzake na wananchi kwa ujumla kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona.

Mbatia amesema hayo wakati akihojiwa namna alivyokipokea kifo cha mbunge mwenzake rip Ndassa.
Mbatia amemwelezea Ndassa kama mbunge makini, mtaratibu na asiyependa makuu kadhalika alikuwa Mwalimu kwa wengi wao.

Source ITV habari!
 
Kwa KUWAl NAJUA kuwa ni MUNGU JEHOVAH ambae ndie PEKEE anaepaswa kuabudiwa (NAE HAPENDI kuona ukatili) ndio nakauliza nilichouliza. Na kwa Jehovah, unapaswa kwanza kutubu na kuacha kuonea wenzio angalau kwa hivyo atasikia hayo maombi.
umeonewa na nani?
 
Mbowe amepiga kelele sana bungeni akitaka wabunge wapimwe. Alipuuzwa. Laiti kama ushauri huu ungezingatiwa, huenda maisha ya Mh Ndassa yasingekoma leo!
Tumia akili ya kuzaliwa, ukipimwa Leo, ukawa huna, je kesho au keshokutwa huwezi kupata?
Na kucheck kila siku , inawezekana?
Huko kwa wenzetu wame check watu wote, kama sio wale walio ktk Matatizo hayo?
 
Nadhani alikuwa mwalimu Ngudu secondary kabla ya kugombea ubunge.
Kumradhi...alikuwa mwandishi wa habari wa gazeti la mfanyakazi, nilichanganya na Bujiku Sakila ndio alikuwa mwalimu wa Ngudu sec
 
It is not about me dude, but whoever has been illtreated by those misusing powers.
kumbe wewe unaleta mambo ya siasa kwenye suala la ugonjwa, haya bwana mimi siko huko katika hili nikutakie usiku mwema na familia na MUNGU aendelee kuwalinda.
 
Kwa sisi hakuna namna tuombe mungu tu; kufa kupo kote hila walau wenzetu wanajaribu kuokoa maisha as much as they can.

Sio sisi ata ukiangalia mikakati ya serikari well kama ulivyosema tuombe mungu maana.
Mkuu Kama una hela agiza ventilator toka China,unafunga kwako,,teua chumba maalumu,,ajili madaktari toka Wuhan,,saa hivi hawana kazi kule ugonjwa uliisha,so Wana uzoefu wa kudeal na huu ugonjwa,,nunua pia testing kit na reagent zake,yaani uwe full..
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema: Mficha ugonjwa, kifo kitamuumbua. Naona sasa tunaumbuka taratibu. Eee Mungu Mwenyezi, Mwenye Huruma, utuhurumie sisi wakosefu.
 
Uzembe uko kwa uongozi wa bunge,,walitakiwa kuwafanyia follow-up wabunge wanaopima joto juu na immediately wapimwe corona,huu uzembe wasipoangalia watapoteza wengi
Wanaacha kuwapima kwa makusudi wakidhani wanwakomoa WAPINZANI kumbe wanajikomoa wenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom