Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Ndugu yangu basic first aid pia tunashindwa. Labda muheshiwa kakataa.Jamani walishindwa hata kumpa paracetamol za kutuliza homa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu basic first aid pia tunashindwa. Labda muheshiwa kakataa.Jamani walishindwa hata kumpa paracetamol za kutuliza homa?
Nyungu ni nini?Wiki ya nyungu.
Sent using iphone pro max
Hahahaha
Sawa!At least.
Siku nyingine usiunganishe
lifestyle yao inafanya wawe na magonjwa rafiki ya novel coronavirus.
Mpaka sasa hakuna 100% proof ya wapi utampata Corona na wapi humpati, ndiyo maana self hygiene inahimizwa sana.
Kupimwa wabunge wote ni muhimu sana.
Thanks, pole wote, alikuwa mtu wa watu!.Pole kwa kufiwa