Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Habarini wanajamvi.....

Wiki kadhaa nyuma nilitoa andiko juu ya kushindwa kazi kwa waitara hasa alipokuwa chadema..Ukweli usiofichika kuwa ndugu waitara alitelekezwa na chadema kiasi kwamba kazi zikawa zinamuelemea, nilimuonya kuwa asipofanya maamuzi magumu basi ataangukia pua.

Kwa niaba ya wanywa bia UEFA, UWANJA MPNA RELINI,MASIKA,MOSHIBAR NA ZINGINE....Napenda kukukaribisha kwa bia maeneo ya uwanja mpana siku utakayokuwa tayari...karibu tuyajenge.
Chadema inahusika vipi na kazi za mbunge?

Chadema ndio Hazina au ni wizara ya fedha?

Bia za kuboom boom hizi ndio zinakulewesha vibaya mpaka unaishiwa akili.

Wanaonunuwa bia kwa pesa zao hawanaga akili ushuzi kama hizi.
 
usiwe kama unaliwa goti a.k.a 0713
 
Back
Top Bottom