Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Zitto yupo CCM?Mwigamba, Zitto na Tuntemeke wana vyeo gani CCM?

Hongera zakeMbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara, atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama
> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za ruzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
> Mwenge wa Uhuru umekuja kuzindua miradi ya maendeleo niliyoipigania lakini naambiwa usiende pale na mimi shida yangu haikuwa CCM pale ilikuwa ni mradi niliopigania
"Leo nimejiondoa rasmi CHADEMA kwahiyo mimi sio Mbunge tena, nimetupa jongoo na mti wake" amesema Mwita Waitara
“Mimi nataka niende mahali ambako kuna kazi za kufanya,” Waitara amewaambia waandishi na kuongeza kwamba anatamani kuwa Waziri Kamili.
Habari zaidi....
Mbunge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara amejiuzulu uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM leo Jumamosi Julai 28, 2018.
Waitara ametangaza uamuzi wake huo leo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi ndogo za CCM Lumumba mjini hapa, akiwa sambamba na katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.
Kwa uamuzi huo wa Waitara ambaye alikuwa CCM kabla ya kujiunga Chadema, jimbo la Ukonga linabaki wazi.
Waitara amekuwa mbunge wa pili wa Chadema na wa tatu wa upinzani kuhama chama na kujiunga na CCM.
Wengine wa Dk Godwin Mollel (Siha) na Maulid Mtulia (Kinondoni).
ALICHOANDIKA Zitto:
View attachment 821107
Kweli! hilo ni jibu lako? watu wanaondoka,unaongolea Tume huru.Ingekuwa kuna tatizo, tume huru isingekuwa ni mtihani kwa CCM.
its true my sis he has been given part of the stolen 1.5tr which ccm cant account forIs it true??????
Sio lazima watu wafuate maono ykMbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara, atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama
> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za ruzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
> Mwenge wa Uhuru umekuja kuzindua miradi ya maendeleo niliyoipigania lakini naambiwa usiende pale na mimi shida yangu haikuwa CCM pale ilikuwa ni mradi niliopigania
"Leo nimejiondoa rasmi CHADEMA kwahiyo mimi sio Mbunge tena, nimetupa jongoo na mti wake" amesema Mwita Waitara
“Mimi nataka niende mahali ambako kuna kazi za kufanya,” Waitara amewaambia waandishi na kuongeza kwamba anatamani kuwa Waziri Kamili.
Habari zaidi....
Mbunge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara amejiuzulu uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM leo Jumamosi Julai 28, 2018.
Waitara ametangaza uamuzi wake huo leo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi ndogo za CCM Lumumba mjini hapa, akiwa sambamba na katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.
Kwa uamuzi huo wa Waitara ambaye alikuwa CCM kabla ya kujiunga Chadema, jimbo la Ukonga linabaki wazi.
Waitara amekuwa mbunge wa pili wa Chadema na wa tatu wa upinzani kuhama chama na kujiunga na CCM.
Wengine wa Dk Godwin Mollel (Siha) na Maulid Mtulia (Kinondoni).
ALICHOANDIKA Zitto:
View attachment 821107
Huyu jamaa nimemsikiliza ........... is TOO NAIVE.hapa ndo mjue kabisa, karibu wanasiasa wote wanachungulia kwanza maslahi yao kabla ya wanaowachagua!... Kwa haya yanayoendelea, sasa nawaelewa wale wanaosema moja ya sababu kuu iliyokwamisha ndoto za Nkurumah za Afrika kuungana na kuwa moja ilikuwa ni uchu wa madaraka hasa ya kuitwa "RAIS" maana angechaguliwa Rais mmoja na wengine wangebaki kuwa magavana wa majimbo au wakuu wa mikoa!.....Waitara kachungulia fursa ya 2020! Kama ni mzalendo kweli akae pembeni asigombee tuone
Kumbe!Sioni ajabu kwani kabla ya kwenda chadema alitokea huko huko
Aanzishe tu chama chake kama vipi, mana Leo sisiem hawafai bora chadema kesho chadema nao hawafai... sasa ukirudi unaelewekaje kama sio mfia tumboAny way Ngoja tusubiri aweke sababu why kafanya Hivyo,nakumbuka huyu alihamia chadema akitokea CCM na akimlaimu makamba na Chimbi,tena alihama CCM katikati ya uchaguzi mdogo jimbo la Tarime.