Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Any way Ngoja tusubiri aweke sababu why kafanya Hivyo,nakumbuka huyu alihamia chadema akitokea CCM na akimlaimu makamba na Chimbi,tena alihama CCM katikati ya uchaguzi mdogo jimbo la Tarime.
 
siwi mnafiki lakini jamaa bungeni alikuwa sweetheart sana kwa ccm,michango yake ilikuwa bungeni ilikuwa friendly sana kwa serikali
Kwani unadhani upinzani ni kuwa against kwa kila.kitu?

Kama mpinzani hujawahi kuvuta bangi huwezi kufanya upinzani wa kina SUGU N.A. LEMA,

waige mfano wa waitara,.mnyika, Prof jay na wengine
 
30ayhcw.gif

CCM yapiga KO nyingine ndugu watazamaji.
 
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara atangaza kuhama CHADEMA na kuhamia CCM

> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama

> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
View attachment 820984
Hongera sana Mwita umejitambua
 
Back
Top Bottom