Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Watakuja hapa kusema kanunuliwa
Kanunuliwa ndio na akajipanga kwa njia io ya kuelezea ruzuku. Ingekuwa Bora Kama angeeleza you hayo akiwa ndani hata angeitisha waandishi wa habari na kueleza then tuone chama ingemfanya nn. Anakuja kuyaongea baada ya kuvuta bulungutu. Amevuta mamilioni za bunge na gari juu. Bado miaka miwili anapata shangingi lingine na 2020 anapata lingine halafu hapo tunashangilia badala ya kujiuliza Ni hasara kiasi gani ametutia
 
Kwani unadhani upinzani ni kuwa against kwa kila.kitu?

Kama mpinzani hujawahi kuvuta bangi huwezi kufanya upinzani wa kina SUGU N.A. LEMA,

waige mfano wa waitara,.mnyika, Prof jay na wengine
hii leo mnyika ni good boy sababu yuko kimya!!
hivi kwa nini hampendi kukosolewa
so kwako wewe mambo yako sawa nchi hii!!
 
Ametumia haki yake ila nilicho na uhakika nacho ni kuwa upinzani hauwezi kufa kwa Waitara kurudi alikotoka.
 
Last edited:
giphy.gif

Whaat!!!...Chadema hawaamini kuwa chama kinamfia Mbowee?!!!.
 
Last edited:
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema

> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama

> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
View attachment 820984
Hatujali tuna Zitto Kabwe... lol
 
Nipo kwenye group moja la chama la wanachedema jimbo la ukonga, yaan hawa jamaa wanaparuana vibaya mno!

Hakuna mkubwa wala mdogo, yani yale matusi ya wanachedema wanayotukanaga wana ccm ndio huwa wanaporomosheana humo kwenye group lao wakati wakijadiliana hoja mbalimbali.

Alafu pia inaonekana kwa mujibu wa wanachama wa kwenye hili group, Wanasema Waitara kawatelekeza... Alafu chadema ukonga ina makundi mawili,

1. Linalomuunga mkono waitara
2. Lililo kinyume na Waitara..

Sasa hayo makundi yakianza kuporomosheana matusi unaweza kufikiri hawa jamaa ni vichaa.

Ndio maana mm huwa naishia kusema ccm itabaki sana na bado ipo sana madarakani, si kwamba inapendwa bali hakuna mbadala wake nasema hakuna.
 
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara atangaza kuhama CHADEMA na kuhamia CCM

> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama

> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
View attachment 820984
Punde atafuatia meya wa Jiji!! Sasa hata waitara naye na mihemko yake anahama si CHADEMA inapumulia masikio!! Nyinyi akina Mura waaichie chama wenye chama, wenzenu hawana nia ya kuongoza bali kujipatia manufaa ya kifedha. Nyinyi mnaenda huko mnadhani wana nia njema na ni wasema ukweli kama mlivyo nyinyi watu wa Mara mnakuta wenzenu waaaaala, wana yao mnabaki kuweweseka. Hamkujifunza kwa Chacha Wangwe, sawa haya sasa na huyu Waitara bado mtakuwa hamjajifunza?
 
Kilichopo nikwamba Uchaguzi ujao Hakuna mBUNGE wa upinzani atarudi Bungeni so ila anaetamani kurudi Bungeni hatabaki Upinzani huyo Waitara ni mwanzo tu! Maana tutashuhudia mengi Mungu atupatie uzima tu
Binafsi natamani iwe hivyo ili ijulikane wazi kuwa bunge ni la chama kimoja.
 
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara atangaza kuhama CHADEMA na kuhamia CCM

> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama

> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
View attachment 820984
Nothing than ccm selfish behavior is on control and spirit of poverty to decline tax payer money for reelection [emoji317] [emoji317] [emoji317]
 
CHADEMA kuna zimwi linawala taratibu hawataki kulitoa, litawafikisha pabaya sana wasipoangalia hadi huyu jembe ametoka basi kuna tatizo kubwa sana.
Sasa kuna chama pale
upuuzi tu
 
Back
Top Bottom