Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

CHADEMA haitakufa kaka, Sana sana ndo inaimarika, Magufuli siyo Mungu hata aue upinzani.
Atakufa Magufuli na kuiacha CHADEMA ikiishi.
Kufa akifi kabisa ila ule umaarufu wake utapotea, kiko wapi TLP au NCCR MAGEUZI?
 
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara, atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama

> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa

> Mwenge wa Uhuru umekuja kuzindua miradi ya maendeleo niliyoipigania lakini naambiwa usiende pale na mimi shida yangu haikuwa CCM pale ilikuwa ni mradi niliopigania

"Leo nimejiondoa rasmi CHADEMA kwahiyo mimi sio Mbunge tena, nimetupa jongoo na mti wake" amesema Mwita Waitara

duuh!!
 
Hahaha yani kajiuzuli paap moja kwa moja ccm kama hii sio mipango ni nini hiki
 
Kama ni kweli na aende salama; CHADEMA haiwezi kuyumbishwa na wasaka tonge wachache.
 
Nothing than ccm selfish behavior is on control and spirit of poverty to decline tax payer money for reelection [emoji317] [emoji317] [emoji317]
Nakuonea huruma sana mkuu, natamani nikurushie screen shot za matusi ya wanachedema jimbo la ukonga wakimtukana waitara kwenye group ambalo waitara mwenyewe alikuwemo mpka akaamua kujitoa , yaani hadi watoto wadogo wanamwita majina ya ajabu ajabu..

Na kwa taarifa yako tu ni kwamba, sasa kinaenda kutokea Waitara atarudi bungeni kupitia ccm huku ninyi mkiendeleza matusi yenu..

Ni shida sana kuwa na wapinzani viazi kiasi hiki..

Endelea tu kulaumu ccm wakati shida ipo ndani hukohuko
 
Laana hii ya kubadili gia angani haita waacha salama, EL kama na muona vile anavyo wang'ong'a cdm. Tuliwasaidia sana mawazo yetu humuhumu jF hawa chadema enzi hizo. Halafu ghafla from nowhere, wa kaja na huu uhuni wa kubadili gia angani. Chama hiki lazima kife kibudu.
 
Hizo ruzuku wanafuatlia kila kukicha si nao waanzishe vyama vyao.
 
Last edited:
Kweli binadamu husahau walipotoka

Waitara wakati amepigwa chini kwenye uchaguzi mdogo ccm Tarime alikuwa kama chizi,alichanganyikiwa ,mtaania alikuwa anakunywa gongo za kienyeji,aliuza mpaka pikipiki,alijikuta akiwa katika maisha magumu ambayo watu walimhurumia

Mungu akamuonyesha njia,akapatà Ubunge amepata maisha yake yakarudi vizuri

Leo amepata hivyo vihela hata havifiki pension ya Daktari bingwa anabwaga manyanga

Watu wamo ndani ya ccm ni waovu kila Siku mkuu wa nchi anawashtumu akina Chenge lakini huwezi kusikia Chenge anafanya upuzi huo ingawa amehudumu serikalini muda mrefu,mama Thibaijuka ametuhumiwa mambo mazito lakini hajawahi kutoka hiyo nafasi na huyu mama amefanya Umoja wa Mataifa muda mrefu

Hakika kuna watu wanapenda kufa masikini,na kweli masikini hajiongezi,

Waitara unatoka kwenye familia masikini sana ila unaamua kufanya utumbo wako
 
acha waondoke tu..tutaanzia chini km tulivyoanza huko nyuma
 
Back
Top Bottom