Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Tutarajie hata kusikia Lowasa na Sumaye wanarudi sisiem
 
Huyu atakuwa kabinywa pahala akabinyika, ndo maana kafanya huu ujinga hata sura yake hai akisi ya anacho kisema,

Woga wetu ndio umasikini wetu,

Wanaume wenye misimamo thabiti wako wapi? ama hakika wanaume miaka ya hii karibuni wamekuwa adimu na wanazidi kuadimika

Mungu km vipi poteza hii dunia tengeneza ingine ianze upya, hii ni aibu
 
Huu uzi bavicha wanapita kimyakimya
 
Last edited:
Awe amenunuliwa au vyovyote tutakavyomuita lakini kitu kimoja ambacho ni hakika ni Chadema inaenda kubaya. Tuache kuimbiana mapambio tuseme ukweli otherwise naiona NCCR mpya za zama hizi! Mkapa aliivyonza NCCR na sasa naona mzee baba anafanya the same to Chadema. Vyovyote vile haya yanayotokea CCM si ya kulaumiwa bali Chadema yenyewe, acheni kutafuta mchawi.

Mlichomfanya Dr Slaa 2015 wengine tuliandika hadi vidole vikauma lakini tuliona shimo ambalo wengine kwa mihemuko hawakuona. Msijipe moyo, tubuni makossa ili muanze upya na kujenga upya uaminifu ambao unapaswa kuanzia kwa viongozi wenyewe.
Dr Slaa angekuwapo leo angefanya nini kwenye siasa za awamu hii ya 5? Acheni kuhadaa watu eti Leo Dr Slaa angekuwapo tusingekuwa na siasa za kijinga kama tunavyoviona leo
 
Viongozi wa CHADEMA wamekata tamaa, dawa ni kubadilisha viongozi. Tulikua tumefika pazuri sana ila tunarudi nyuma kwa Kasi. Magufuli hana la ajabu tatizo ni viongozi wa upinzani, chama hakina itikadi ( tulikua wabepari). Huyu jamaa alitakiwa awe ameitwa kwenye baraza kuu na kupewa maelezo au kuhojiwa au kufukuzwa uanachama kabla ya kujiuzulu. Sasa kina Beregu wamekaa kama majinga kazi kugawana ruzuku tu. Inatia hasira sana.
 
Kwa nini atake kwenda mwenge wakati alishaupinga since day one
Huku ni kutafuta matapishi yake...
Screenshot_20180728-132206.jpg
 
Aisee nakosa hata neno la kusema
Sielewi haya mambo jamani
Mbona Mwenyekiti wetu hasemi kitu
Hali inatishia
Nmeingiwa na baridi ghafla
Weekend yangu imekuwa mbaya mnooooo
 
Back
Top Bottom