Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Write your reply...mbona kila anayejiuzuru anatotoa sababu zinazofanana, RUZUKU, UONGOZI, DEMOKRASIA
 
Ndio ushauri gani tena huu?!! Wakumkimbia maiti na kuambatana na marehemu.



Tanzania usipambanie mwanasiasa,pambania kweli. Ukweli hauna chama,hauwezi kukuhama.

Inawezekana chadema kuna tatizo la matumizi ya ruzuku,lakini kama ingekuwa ndio sababu ya Mwita kuachia ngazi basi asingeenda kujiunga na wale aliokuwa anawakosoa,angeenda pengine ACT kwa ZZK ningeona anasimamia ukweli.​
 
Dr Slaa angekuwapo leo angefanya nini kwenye siasa za awamu hii ya 5? Acheni kuhadaa watu eti Leo Dr Slaa angekuwapo tusingekuwa na siasa za kijinga kama tunavyoviona leo
Slaa alikuwa na msimamo!

Hivi wewe unafikiri kuna mtu atawaua watu wakiamua kweli kukusanyika? Ataua wangapi?

Shida ni kwamba ninyi ni waoga.
 
Wakati Zakayo anaondoka aliandika hivi...
Sasa atueleze kama hajafanya usaliti na yeye!!
FB_IMG_1532773241406.jpg
 
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara atangaza kuhama CHADEMA na kuhamia CCM

> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama

> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
View attachment 820984
Sasa na huyu tumwite msaliti au mjuzi zito aliyapigania hayo akaitwa msaliti aondolewa chamani lakini hakwenda cc
Chadema imejaa ubinafsi na ubadhirifu. waitara anaweka wazi namna ruzuku inavyotumika vibaya huko.
Akumbukwe zitto naomba tumuangalie zito ndio mpinzani wakweli alitukanwa sana akaitwa msaliti lakini aliendelea kuwa mpinzani nabado anajitahidi kuunganisha upinzani wasaliti nazani mmewaona sasa tatizo letu mtu akihoji kitu anaitwa msaliti sasa huyunadhani atakuwa kanusa kitu kabla hajafanyiwa kama alivyofanyiwa z ito amewawahi nakukichoma chama chadema nccr cuf act kiundwe chama kimoja rasilimali zote zavyama bilakuangali nani mdogo nani mkubwa zikusanywe tuanziehapo nahakika tutatoa maajaabu waache wajazane hukonafasi nichache nahakika kunawengine wazamani Kule wataondoka tutapata upinzani wanguvu tu
 
Waondoke tu wote Wajiunge na CCM...ikiwezekana tubaki na chama kimoja...kwa sababu Tanzania we were not ready kuwa na democrasia ya vyama vingi huo ndio ukweli. Vyama vingi ni fursa ya wajanja kupiga hela za ruzuku tu na sio kupigania maslahi ya Taifa
 
Sioni ajabu kwani kabla ya kwenda chadema alitokea huko huko
Hutaona ni ajabu, kwani kuanzia muasisi wa Chadema, mwenyekiti wako wa juzi,jana na hadi leo, wote walitokea CCM. Mgombea Uraisi wa chadema awamu tatu zilizopita wote walitokea CCM.

Sasa ni kipi cha Ajabu kwa WAITARA
 
downloadfile.gif

Hali ya hewa mtaa wa Ufipa ni mvua za hapa na pale zikiambatana na mingurumo.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara, atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama

> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa

> Mwenge wa Uhuru umekuja kuzindua miradi ya maendeleo niliyoipigania lakini naambiwa usiende pale na mimi shida yangu haikuwa CCM pale ilikuwa ni mradi niliopigania

"Leo nimejiondoa rasmi CHADEMA kwahiyo mimi sio Mbunge tena, nimetupa jongoo na mti wake" amesema Mwita Waitara


Habari zaidi....

Mbunge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara amejiuzulu uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM leo Jumamosi Julai 28, 2018.

Waitara ametangaza uamuzi wake huo leo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi ndogo za CCM Lumumba mjini hapa, akiwa sambamba na katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.

Kwa uamuzi huo wa Waitara ambaye alikuwa CCM kabla ya kujiunga Chadema, jimbo la Ukonga linabaki wazi.

Waitara amekuwa mbunge wa pili wa Chadema na wa tatu wa upinzani kuhama chama na kujiunga na CCM.

Wengine wa Dk Godwin Mollel (Siha) na Maulid Mtulia (Kinondoni).
AENDE SALAMA!
 
Kama bado una njaa njaa,huwezi kubaki upinzani.
Mwita bado anasomesha huyo
 
Back
Top Bottom