Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Yaani nimefurahi sana, tulishawaambia huko hicho kikundi cha chama mfu ni cha magaidi, na wala rushwa wakubwa, karibu sana CCM
Unadhani kuna pengo lolote? as long as yanafanyika kwa kununuliwa, it well and fine!
 
YANGA IKIFA SIMBA ITACHEZA NA NANI IJAZE WATU PALE SHAMBA LA BIBI????
 
Mkuu.. Nikupe pole kwakuwa wewe hujui chochote pale chadema, ila kina mbowe ndio wanajua fika.
Sikatai, lkn ubinafsi umewajaa sana pasi na kujali mistakabali wa Taifa, haya kafanya kuikomoa Chadema au anarudisha harakati za ukomboz wa pili nyuma,

Haya jimbo litakiwa wazi, maana yake uchaguzi itabidi ufanyike, huu upuuzi, nilimwona Mjanja kumbe Fala tu huyu kiumbe, na hawezi kusema tu anaenda CCM ghafla kuna majambo yamefanyika hata pesa kachukua au kaahidiwa uchaguzi ukija atarudi km Mtulia

Pumbafu zake japokiwa ni haki yake ameitumia vibaya
 
Slaa alikuwa na msimamo!

Hivi wewe unafikiri kuna mtu atawaua watu wakiamua kweli kukusanyika? Ataua wangapi?

Shida ni kwamba ninyi ni waoga.
Kwenye uoga wa Watanzania hapo ndipo nimekuelewa, lakini kusema eti Slaa kwa siasa hizi za Magufuli za visasi na unyama angekuwapo tusingeziona! Hiyo si kweli
 
Naamini Lowasa pia yumo njiani kuunga mkono juhudi. Siasa za Africa ni ulaghai kwa Mlalahoi. Conspiracy against the laity.
 
Chadema imejaa ubinafsi na ubadhirifu. waitara anaweka wazi namna ruzuku inavyotumika vibaya huko.
Ila sasa awe makini, nakumbuka Chacha Wangwe "ili m cost" hiyo tabia ya kuhoji ruzuku, mara ooo kwanini mnazunguka na helikopta nchi nzima wakati ofisi za wilaya hatujazi imarisha, mara kwanini viti maalum mnachukua wa kanda moja na hali CDM iko nchi nzima,..."
 
Yeye atahoji vipi masuala ya ruzuku hapo ndipo wanapokosea jamn mchaga(mbowe) ukitaka uishi naye vzr ndani ya chama usiulize masuala ya pesa
 
After CDM accepted Lowasa, at first i supported but came to realize it was the biggest mistake cdm ever done, and they tricked me to believe in him, i never truster Mbowe, Zitto, Ndesamburo, Lipumba and some unmentioned people, they are playing Tanzanians, the only guy i trusted Got shot, and still improving his health in belgium, mwaka 2019, mtawafahamu chadema halisi
 
Inabidi itungwe sheria aina hii ya wabunge wawe wananyongwa kwa kulisababishia taifa hasara.
 
Back
Top Bottom