Ni wakati muhimu sana , tukaanza kutafakari na kutafuta ubovu ndani ya chadema. Tusitafute mchawi, na kumbe warogaji wamo ndani ya chama.Aende tu.
Naona jiwe anazidi kufanikiwa kuuwa upinzani kwa kutumia pesa na dola badala ya sera.
Matumizi mabaya ya pesa za ruzuku sio jambo geni na lililoanza kusemwa leo, bali ni mdaa mrefu tangu walipotimuliwa akina Zitto na wenzake. Chadema ifanye busara ya kuwawekea mahesabu ya ruzuku wazi wanachama wake , ili nao wauujue ukweli, kama hii hama hama ni ya kibanafsi ama ina ukweli wowote.