Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Kuwa mpinzani wa kweli kwenye tawala za kidikteta yahitaji kujitoa na kuondoa maslahi binafsi ndio utasurvive, kinyume na hapo lazima utasalenda tu
 
Last edited:
Kanunuliwa ndio na akajipanga kwa njia io ya kuelezea ruzuku. Ingekuwa Bora Kama angeeleza you hayo akiwa ndani hata angeitisha waandishi wa habari na kueleza then tuone chama ingemfanya nn. Anakuja kuyaongea baada ya kuvuta bulungutu. Amevuta mamilioni za bunge na gari juu. Bado miaka miwili anapata shangingi lingine na 2020 anapata lingine halafu hapo tunashangilia badala ya kujiuliza Ni hasara kiasi gani ametutia
Ndizo gharama za demokrasia mkuu,tutazibeba tu!
 
Awe amenunuliwa au vyovyote tutakavyomuita lakini kitu kimoja ambacho ni hakika ni Chadema inaenda kubaya. Tuache kuimbiana mapambio tuseme ukweli otherwise naiona NCCR mpya za zama hizi! Mkapa aliivyonza NCCR na sasa naona mzee baba anafanya the same to Chadema. Vyovyote vile haya yanayotokea CCM si ya kulaumiwa bali Chadema yenyewe, acheni kutafuta mchawi.

Mlichomfanya Dr Slaa 2015 wengine tuliandika hadi vidole vikauma lakini tuliona shimo ambalo wengine kwa mihemuko hawakuona. Msijipe moyo, tubuni makossa ili muanze upya na kujenga upya uaminifu ambao unapaswa kuanzia kwa viongozi wenyewe.
 

Wabunge wa upinzani wa majimbo ya huko Dar mjipange,kuna dalili zote za kuachia hayo majimbo.

Chadema pia ijiandae Meya wa jiji naye yupo njiani kwenda CCM.

Hamtotangazwa!​
 
Awe amenunuliwa au vyovyote tutakavyomuita lakini kitu kimoja ambacho ni hakika ni Chadema inaenda kubaya. Tuache kuimbiana mapambio tuseme ukweli otherwise naiona NCCR mpya za zama hizi! Mkapa aliivyonza NCCR na sasa naona mzee baba anafanya the same to Chadema. Vyovyote vile haya yanayotokea CCM si ya kulaumiwa bali Chadema yenyewe, acheni kutafuta mchawi.

Mlichomfanya Dr Slaa 2015 wengine tuliandika hadi vidole vikauma lakini tuliona shimo ambalo wengine kwa mihemuko hawakuona. Msijipe moyo, tubuni makossa ili muanze upya na kujenga upya uaminifu ambao unapaswa kuanzia kwa viongozi wenyewe.
Utaitwa msaliti. Ingawa umeandika ukweli tupu
 
Yaani nyakati tunazo hitaji upinzani wenye nguvu ndiyo unaporomoka kwa kasi.Inabidi Mbowe aachie fikra mpya ziendeshe mambo.
Tunalisema hili kila kukicha
uwezo wa mbowe umeishia 2015
Hahaha watapata tabu sana
 
Punde atafuatia meya wa Jiji!! Sasa hata waitara naye na mihemko yake anahama si CHADEMA inapumulia masikio!! Nyinyi akina Mura waaichie chama wenye chama, wenzenu hawana nia ya kuongoza bali kujipatia manufaa ya kifedha. Nyinyi mnaenda huko mnadhani wana nia njema na ni wasema ukweli kama mlivyo nyinyi watu wa Mara mnakuta wenzenu waaaaala, wana yao mnabaki kuweweseka. Hamkujifunza kwa Chacha Wangwe, sawa haya sasa na huyu Waitara bado mtakuwa hamjajifunza?
Tunaimarisha kanda ya Ziwa mkuu.
 
siwi mnafiki lakini jamaa bungeni alikuwa sweetheart sana kwa ccm,michango yake bungeni ilikuwa friendly sana kwa serikali
Hahah!! Maneno kama haya upewa kwa mgonjwa alipoteza TUMAINI la kuishi Duniani.

Btw tuwe tunaukubali ukweli na kujisahihisha na sio dhambi kujisahihisha pale ulipokosea.
 
Chadema wamruhusu Hamisi Mgeja agombee uenyekiti,laa sivyo chombo chazama.
 
kAMA NI KWELI AISEE NI PIGO KWA CHADEMA, JAMAA NI BONGE LA JEMBE
 
Back
Top Bottom